donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Wakimuaga mteuleNiliona kwenye habari mwishoni sikuelewa walikufa na Nini hawa wanafamilia.
Serikali imesema lolote?
Ndio hivo mkuuJamani[emoji19][emoji19]
Hapana Ila imesaidia kwenye shughuli za mazishiSerikali imesema lolote?
Ndio kafara zilivyo hukosi msaada wa mhusika[emoji1550]Hapana Ila imesaidia kwenye shughuli za mazishi