Uchaguzi 2020 Wapongezwe wagombea katika kusaka mabadiliko, Lissu hayuko peke yake

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,857
35,864
Ma-CCM, mabibi na mabwana.

Kumpongeza mgombea kwa kutambua jitihada zake binafsi za kupigania haki na uhuru kwa wananchi wa nchi hii, katika mazingira magumu ni jambo la kheri na lenye thawabu kubwa kwa mwenyezi Mungu.

Tundu Lissu kajitoa kupambana vilivyo. Pamoja vizingiti, kejeli, matusi na kubezwa kwake na wanaomchukia kwa sababu zao binafsi, amesimama imara.

"Tundu Lissu popote ulipo tambua kuwa haupo peke yako."

Alipo tupo. Tunafarijika naye tukiamini pasipo shaka kuwa ushindi ni dhahiri na umekaribia mno.

Anapoendelea na kampeni zake rasmi na akatambue kuwa hayuko peke yake. Nasi kwa upande wetu tunaendelea na kampeni zetu za ana kwa ana kwa wapendwa wetu, majirani zetu, wafanyakazi wenzetu nk, kuona kura zetu sote kwa kadri iwezekanavyo ni kwake.

Ni dhahiri kuwa nchi hii baada ya miaka 60, inastahili mabadiliko. Nchi hii inamhitaji mtu mwenye uthubutu kama Tundu Lissu kupokea kijiti kutoka kwa Magufuli. Nchi hii inahitaji chama kingine madarakani zaidi ya CCM.

Ewe Magufuli, CCM, polisi, tume, mahakama, nk mabadiliko ya hatamu za uongozi kwa mujibu wa katiba si uhaini. Ni jambo la afya tu kwa ustawi wetu sote.

Maisha hayawezi kuwa kwa mazoea tu kwa siku zote.

Ninawasilisha.
 
View attachment 1581049

View attachment 1581047

Ooh Ok.
 
Kuchagua chama kingine kutafanya CCM waamke maana sasa hivi ukweli ni kua wamelala na wataendelea kulala kama kila muda wanachukua ushindi kirahisi tu, yaani ukiwa CCM ukapewa nafasi ya kugombea hata ukikaa bure tu unajua next time mambo bado yatakua safi tu. Hawa tukiwaangusha watakaa wasuke chama upya waache ujinga
 
Ma-CCM, mabibi na mabwana.

Kumpongeza mgombea kwa kutambua jitihada zake binafsi za kupigania haki na uhuru kwa wananchi wa nchi hii, katika mazingira magumu ni jambo la kheri na lenye thawabu kubwa kwa mwenyezi Mungu.

Tundu Lissu kajitoa kupambana vilivyo. Pamoja vizingiti, kejeli, matusi na kubezwa kwake na wanaomchukia kwa sababu zao binafsi, amesimama imara.

"Tundu Lissu popote ulipo tambua kuwa haupo peke yako."

Alipo tupo. Tunafarijika naye tukiamini pasipo shaka kuwa ushindi ni dhahiri na umekaribia mno.

Anapoendelea na kampeni zake rasmi na akatambue kuwa hayuko peke yake. Nasi kwa upande wetu tunaendelea na kampeni zetu za ana kwa ana kwa wapendwa wetu, majirani zetu, wafanyakazi wenzetu nk, kuona kura zetu sote kwa kadri iwezekanavyo ni kwake.

View attachment 1581049

View attachment 1581047
View attachment 1581050

Ni dhahiri kuwa nchi hii baada ya miaka 60, inastahili mabadiliko. Nchi hii inamhitaji mtu mwenye uthubutu kama Tundu Lissu kupokea kijiti kutoka kwa Magufuli. Nchi hii inahitaji chama kingine madarakani zaidi ya CCM.

Ewe Magufuli, CCM, polisi, tume, mahakama, nk mabadiliko ya hatamu za uongozi kwa mujibu wa katiba si uhaini. Ni jambo la afya tu kwa ustawi wetu sote.

Maisha hayawezi kuwa kwa mazoea tu kwa siku zote.

Ninawasilisha.
Tupo pamoja nawe Lissu songa mbele na Mungu akulinde.
 
Huyo Lissu apati ata 5%
Jpm na tume yake wanahangaika kupika matokeo muda wote, tutapiga kura kwa lissu ili kurudisha haki, umoja, amani na mshikamano wa taifa letu.Tunataka taifa litakalotenda haki kwa watu wote bila kujali vyama vyao, haki zao na maeneo watokako.Kiongozi yeyote avunjaye haki za watu hatumtaki hata akajenga mabarabara mpaka angani.Jpm akapumzike chato kama rais mstaafu kuanzia November.
 
CCM inatawala kwa mazoea, maendeleo ya nchi hii yataharakishwa na kutokumbatia aina moja ya watawala miaka nenda rudi. Ccm ikiwekwa pembeni basi itajipanga ije na sera nzuri na majibu halisia ya umaskini wa watanzania. Vivyo hivyo kwa upinzani, wakishinda watajitahidi kuyapatia majibu ya haraka matatizo sugu ya watanzania.
 
Ma-CCM, mabibi na mabwana.

Kumpongeza mgombea kwa kutambua jitihada zake binafsi za kupigania haki na uhuru kwa wananchi wa nchi hii, katika mazingira magumu ni jambo la kheri na lenye thawabu kubwa kwa mwenyezi Mungu.

Tundu Lissu kajitoa kupambana vilivyo. Pamoja vizingiti, kejeli, matusi na kubezwa kwake na wanaomchukia kwa sababu zao binafsi, amesimama imara.

"Tundu Lissu popote ulipo tambua kuwa haupo peke yako."

Alipo tupo. Tunafarijika naye tukiamini pasipo shaka kuwa ushindi ni dhahiri na umekaribia mno.

Anapoendelea na kampeni zake rasmi na akatambue kuwa hayuko peke yake. Nasi kwa upande wetu tunaendelea na kampeni zetu za ana kwa ana kwa wapendwa wetu, majirani zetu, wafanyakazi wenzetu nk, kuona kura zetu sote kwa kadri iwezekanavyo ni kwake.

View attachment 1581049

View attachment 1581047
View attachment 1581050

Ni dhahiri kuwa nchi hii baada ya miaka 60, inastahili mabadiliko. Nchi hii inamhitaji mtu mwenye uthubutu kama Tundu Lissu kupokea kijiti kutoka kwa Magufuli. Nchi hii inahitaji chama kingine madarakani zaidi ya CCM.

Ewe Magufuli, CCM, polisi, tume, mahakama, nk mabadiliko ya hatamu za uongozi kwa mujibu wa katiba si uhaini. Ni jambo la afya tu kwa ustawi wetu sote.

Maisha hayawezi kuwa kwa mazoea tu kwa siku zote.

Ninawasilisha.
Mbeba maono cku zote hawezi kuuawa
 
Very low in reasoning, pole kilaza ..

Hata hesabu huelewewi

Huelewewi asilimia zinamaana gani na zinasimama badala ya nini.

Beberu ananena "they will be in for a big surprise!'
 
Mungu anipe uzima, hyo tarehe 28 nina jambo langu, kichinjio changu kinasubiri kufyekelea mbali utawala dhalimu uliotutesa ndani ya miaka mitano na unaotaka kuendelea kututesa raia wake.

Mkuu hauko peke yako.

Binafsi na waungwana lukuki tuko mkao wa kula tukiendelea kuhamasisha Wengine ana kwa ana na nyumba kwa nyumba.

Tumuunge mkono Lissu kwa kuhamasisha wengi wengine zaidi.

Eeh ma wetu macho yetu kwako.
 
Leo nilikuwa na wazee wangu huku dumila ndani ndani ambao ukikuwa huwaambii kitu kuhusu ccm, nilikuwa nina mda sijawachk nikataka nikawape darasa kdg kuhusu hyu mkomboz wa tz, baada ya salam ata kabla sijasema neno babu akadakia "tunamsubiri kwa hamu lissu aje na huku pengine anaweza akawa mkomboz wetu kwa haya mateso tunayopitia" kwakweli kazi yangu iliyonipeleka ikawa nyepes sana.

Umeyafanya yaliyo mema.

Tumsaidie Lissu kuikomboa nchi hii sasa kwa kuzungukia tu kwenye maeneo yetu wenyewe na kuwamwagia mboga mboga stahiki yao.

Lissu hawezi kwenda kote. Ukombozi wa nchi hii sasa ni kwa maslahi ya wengi.

Hima hima,!
 
Back
Top Bottom