Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,520
- 8,270
Nimewakumbuka sana hawa wanalunyasi, hapa jukwaani walikuwa wanachangamsha kweli hasa kuanzisha nyuzi za mechi za mnyama, lakini tangu ubaya ubwela uanze sijawaona tena! Naomba nijue kama wanachunguliaga humu japo mara mojamoja nitafurahi mno, members hawa ni- Ghazwat mzee wa mwana kulitaka mwana kulipata, pamojana sembo. Naomba tu wareply kama wapo.