WAPO radio mnakoelekea siko

WAPO radio mnakoelekea siko

Wewe ni mpotoshaji wa makusudi, umekuja ili uutete uovu muufanyao kwa kondoo za Mungu kujifanya eti nyinyi ni manabii.
Neno "Nabii" limeandikwa takriban mara 242 kwenye Biblia.
Neno "Manabii" limeandikwa takriban mara 239 kwenye biblia.

Napenda ueleze sasa na watu wote wakusikie waijue na nia yako, Je tutamtambuaje kuwa "huyu" si nabii bali ni nabii wa uongo?
Mkuu haya majitu kwenye mahubiri yao ni kuchonganisha familia za watu na hakuna kingine. Ingekuwa enzi za nabii Elia haya mamitume na manabii ya zama hizi yangechinjwa hadharani. Mimi nasema sio manabii bali ni waganga na wapiga ramli
 
Mleta mada aanze hapa kusoma aelewe maana nampa fact.
Screenshot_20170930-135120.png

Screenshot_20170930-135120.png
 
Attachments

  • Screenshot_20170930-135128.png
    Screenshot_20170930-135128.png
    381.2 KB · Views: 18
Nadhani unaelewa kuliko Mimi mpotoshaji, unaweza ukanielewesha tuu kwasababu una jumla ya maneno 481 unayoyajua kuhusu manabii na unabii! Na unaweza ukaueleza umma kama mm nilivopotosha hapo juu(kwa mujibu wako)! Hicho unachotaka nieleze ambacho sijakieleza kieleze wewe mtu msafi!

Soma hapa uelewe vizuri na wasomaji wakushuhudie kuwa umeelewa kilichoandikwa.
Screenshot_20170930-140009.png
 
Hivi karibuni nimekuwa nafatilia vipindi vyenu! Mnafanya vzr vipindi vingine lkn kuna kipindi Fulani kinaitwa meza ya busara na kuna kikundi Fulani kimetengenezwa na mnaemfahamu kuwajadili watumishi wa Mungu mbali2 wakiwemo mitume na manabii kwa kejeli nyingi sana na kuruhusu hadhila yaani umma wa wapiga simu uwahukumu watumishi mbali2 nataka niwakikishie hiyo sio kazi yenu! Na mkiendelea hivo mtakosa mvuto kabisaaaaa!

Pia kuna kakikundi Fulani kazi yao ni kujadili watumishi wanatakiwa watumikaje kwa kifupi ni kakikundi kakudhibiti mfumuko wa mitume na manabii kametengenezwa na MTU ili pengine kasiwe tishio kwa kanisa fulani kwa sasa na siku za usoni! Sio sawa!

Ninamengi lkn Leo niishie tu kuwaonya mmeshapoteza maelfu kwa hizo tabia zenu!

Nataka niwaambie bosi anayewaita watumishi wa Mungu ni mmoja naye ni Mungu huyo huyo aliyemwita hata bosi wenu kama kuna watumishi mnawaona wameitwa na shetani sio kazi yenu kuhukumu mwachieni anayeita watu ahukumu yy!

Kwasababu ninyi hamumjui mtu aliyeitwa na Mungu au shetani! Ili kulishinda giza fundisheni kweli ya Mungu yenye nuru sio misimamo binafsi ambayo sio neno la Mungu!

Msiuchie ulimwengu uje uwanange wachungaji au mitume au manabii nk hadharani tena na watu wasiomjua Mungu kisa tu mnataka msipungukiwe na waumini, uhalali wa chombo chenu unaondoka kwenye mstari hiyo kazi mwachieni Mungu! Mwambieni bosi wenu asome LUKA 9:50

Mkitaka kuwadhibiti hawa mitume, manabii, ambao ndio mwiba kwenu aandaeni kongamano kubwa la watumishi wa Mungu woote mje muweke mezani hoja zenu ijulikane manabii wapo au hawapo!

Kama unaweza pangua hoja hii ya manabii wa uongo kutoka kwenye maandiko.
Screenshot_20170930-141107.jpg

Screenshot_20170930-141107.jpg
Screenshot_20170930-141121.jpg
 
Hawataki watu wapate maarifa wanajua watu wakiujua ukweli watakimbia hayo maunabii yao ya uongo... watakosa sadaka
Zama hizi si za ujinga tena, waweke akili akili hili,

Ujinga wa dini umefika ukomo, sasa hivi watu wengi wamekuwa na uelewa juu ya unafiki wa hizi dini na viongozi wao, na tuyaendelea kuwaelemisha watu juu ya hizi dini,

naamini miaka 20 ijayo mpaka hamsini wafia dini watakuwa wamepungua km si kuisha kabisa,

Siku zote Dini ni ujinga

Dini ni mawazo ya mwqnadam juu ya Mungu,

Hivyo watu watambue na waelewe kwamba Dini si Mungu, wala Mungu si Dini,

Saa ndio hii Hawa wanojiita mitume na manabii wakat umefika waache usanii, badala yake wawafundishe watu kweli, na wao wakubali kuambiwa ukweli,

Tumsifu Yesu Kristo
 
Hivi karibuni nimekuwa nafatilia vipindi vyenu! Mnafanya vzr vipindi vingine lkn kuna kipindi Fulani kinaitwa meza ya busara na kuna kikundi Fulani kimetengenezwa na mnaemfahamu kuwajadili watumishi wa Mungu mbali2 wakiwemo mitume na manabii kwa kejeli nyingi sana na kuruhusu hadhila yaani umma wa wapiga simu uwahukumu watumishi mbali2 nataka niwakikishie hiyo sio kazi yenu! Na mkiendelea hivo mtakosa mvuto kabisaaaaa!

Pia kuna kakikundi Fulani kazi yao ni kujadili watumishi wanatakiwa watumikaje kwa kifupi ni kakikundi kakudhibiti mfumuko wa mitume na manabii kametengenezwa na MTU ili pengine kasiwe tishio kwa kanisa fulani kwa sasa na siku za usoni! Sio sawa!

Ninamengi lkn Leo niishie tu kuwaonya mmeshapoteza maelfu kwa hizo tabia zenu!

Nataka niwaambie bosi anayewaita watumishi wa Mungu ni mmoja naye ni Mungu huyo huyo aliyemwita hata bosi wenu kama kuna watumishi mnawaona wameitwa na shetani sio kazi yenu kuhukumu mwachieni anayeita watu ahukumu yy!

Kwasababu ninyi hamumjui mtu aliyeitwa na Mungu au shetani! Ili kulishinda giza fundisheni kweli ya Mungu yenye nuru sio misimamo binafsi ambayo sio neno la Mungu!

Msiuchie ulimwengu uje uwanange wachungaji au mitume au manabii nk hadharani tena na watu wasiomjua Mungu kisa tu mnataka msipungukiwe na waumini, uhalali wa chombo chenu unaondoka kwenye mstari hiyo kazi mwachieni Mungu! Mwambieni bosi wenu asome LUKA 9:50

Mkitaka kuwadhibiti hawa mitume, manabii, ambao ndio mwiba kwenu aandaeni kongamano kubwa la watumishi wa Mungu woote mje muweke mezani hoja zenu ijulikane manabii wapo au hawapo!
Embu nipe kwanza maana ya mitume na manabii......halafu nipe kazi zao.....mwisho utaja gundua je ni kweli kizazi cha Leo tuna mitume au manabii?
 
UKISEMWA UKWELI UMAPOTEZA MAELFU YA WATEJA? BORA HAO WASIOPENDA UKWELI WAPUNGUE TU. KWANI MTUMISHI WAKO ALITAJWA JINA??
 
Hivi karibuni nimekuwa nafatilia vipindi vyenu! Mnafanya vzr vipindi vingine lkn kuna kipindi Fulani kinaitwa meza ya busara na kuna kikundi Fulani kimetengenezwa na mnaemfahamu kuwajadili watumishi wa Mungu mbali2 wakiwemo mitume na manabii kwa kejeli nyingi sana na kuruhusu hadhila yaani umma wa wapiga simu uwahukumu watumishi mbali2 nataka niwakikishie hiyo sio kazi yenu! Na mkiendelea hivo mtakosa mvuto kabisaaaaa!

Pia kuna kakikundi Fulani kazi yao ni kujadili watumishi wanatakiwa watumikaje kwa kifupi ni kakikundi kakudhibiti mfumuko wa mitume na manabii kametengenezwa na MTU ili pengine kasiwe tishio kwa kanisa fulani kwa sasa na siku za usoni! Sio sawa!

Ninamengi lkn Leo niishie tu kuwaonya mmeshapoteza maelfu kwa hizo tabia zenu!

Nataka niwaambie bosi anayewaita watumishi wa Mungu ni mmoja naye ni Mungu huyo huyo aliyemwita hata bosi wenu kama kuna watumishi mnawaona wameitwa na shetani sio kazi yenu kuhukumu mwachieni anayeita watu ahukumu yy!

Kwasababu ninyi hamumjui mtu aliyeitwa na Mungu au shetani! Ili kulishinda giza fundisheni kweli ya Mungu yenye nuru sio misimamo binafsi ambayo sio neno la Mungu!

Msiuchie ulimwengu uje uwanange wachungaji au mitume au manabii nk hadharani tena na watu wasiomjua Mungu kisa tu mnataka msipungukiwe na waumini, uhalali wa chombo chenu unaondoka kwenye mstari hiyo kazi mwachieni Mungu! Mwambieni bosi wenu asome LUKA 9:50

Mkitaka kuwadhibiti hawa mitume, manabii, ambao ndio mwiba kwenu aandaeni kongamano kubwa la watumishi wa Mungu woote mje muweke mezani hoja zenu ijulikane manabii wapo au hawapo!
Pia wanapiga mizinga sana hawa,
 
Bahati mbaya sijakutana na hicho kipindi wanachomuita mhusika nilisikia maada ya jumla tuu!
Nimesikiliza zaidi ya Mara tatu Ni kizuri labda kwa sasa kama kipo tofauti maana nipo nje ya bongo..ila kwa kipindi kile kilikua poa sana
 
Back
Top Bottom