WAPO radio mnakoelekea siko

WAPO radio mnakoelekea siko

Be in the spirit! Warumi 8:9 huwezi kupima mambo ya rohoni ukiwa mwilini! Ukiwa rohoni unaweza kujua! Yaani hata mchawi kwakuwa yuko rohoni ktk ulimwengu wa roho wa Giza anajua watumishi wa uongo na wa kweli
mbona Yeah ameweka vipomo tayari "matunda yao"
 
Wewe sikuwezi kila nilichokujibu nimekuwekea andiko! Nadhani chukulia kwamba nimeshindwa kukujibu ni sawa tuu!
Wewe ni mpotoshaji wa makusudi, umekuja ili uutete uovu muufanyao kwa kondoo za Mungu kujifanya eti nyinyi ni manabii.
Neno "Nabii" limeandikwa takriban mara 242 kwenye Biblia.
Neno "Manabii" limeandikwa takriban mara 239 kwenye biblia.

Napenda ueleze sasa na watu wote wakusikie waijue na nia yako, Je tutamtambuaje kuwa "huyu" si nabii bali ni nabii wa uongo?
 
Mbogo he is smart lkn inaonekana agenda iliyoko nyuma inamzidi nguvu! Kama unafatilia wapo r utakijua sio kila siku ktk meza ya busara kuna mawiki kadhaa yamepita nilikisikia mwenyewe kilinichefua sana pia hao jamaa ambao hujadili watumishi wapo muulize mbogo atakwambia
Kama wanachambua watumishi kwa majina sikibaliani hata Mimi lakini Kama wanajadiliana kuhusu utendaji wa Huduma hip no sawa
 
mbona Yeah ameweka vipomo tayari "matunda yao"
Inahubiriwa miili ndiposa roho hufunuliwa rohoni kuelewa yaliyo ya rohoni.

Huyu jamaa ni dizaini ya masanja mkandamizaji msaka pesa kisanii
 
Inahubiriwa miili ndiposa roho hufunuliwa rohoni kuelewa yaliyo ya rohoni.

Huyu jamaa ni dizaini ya masanja mkandamizaji msaka pesa kisanii
Spelling tu zimenikosesha sijui Kama umenipata. Nimesema Yesu Amelia vipimo
 
Wapo ni matapeli kama hao wengine tatizo lao wivu wakiona mwingine anakubalika wanaanza vipind vyao ohh manabii wa uongo oh hawajui neno mara hawana wazazi wa kiroho

Uyo gamanywa amekua akianzisha miradi ya uongo aliwakusanya vijana anadai wananua mashamba wakalime matokeo yake kaanza kuwachangisha na iyo miradi imeyeyuka

Mara aibuke na kujazwa roho mtakatifu anaishia kuwaambia watu warudierudie maneno ndio kunena kwa luga tayari umejazwa roho

Sasa kaja na vipaji eti anaibua vipaji ana mpambe wake sijui anaitwa rwezaura uyo ni muongo muongo na injili zake za kujitungia
 
Wewe ni mpotoshaji wa makusudi, umekuja ili uutete uovu muufanyao kwa kondoo za Mungu kujifanya eti nyinyi ni manabii.
Neno "Nabii" limeandikwa mara 242 kwenye Biblia.
Neno "Manabii" limeandikwa mara 239 kwenye biblia.

Napenda ueleze sasa na watu wote wakusikie waijue na nia yako, Je tutamtambuaje kuwa "huyu" si nabii bali ni nabii wa uongo?
Nadhani unaelewa kuliko Mimi mpotoshaji, unaweza ukanielewesha tuu kwasababu una jumla ya maneno 481 unayoyajua kuhusu manabii na unabii! Na unaweza ukaueleza umma kama mm nilivopotosha hapo juu(kwa mujibu wako)! Hicho unachotaka nieleze ambacho sijakieleza kieleze wewe mtu msafi!
 
Nadhani unataka nitumie andiko la utamjua kupitia matendo! Hapo nimevuka kuna matendo mengine huwezi yaona kama utajudge kwa mile unachokiona tuu basi kuna mengi hutayajua kwa mtu
Mbona hutupi hilo andiko?
 
Nimekuelewa vzr ni vizuri sana kama askofu akafanya hivo kama ameona au Mungu amemwambia na hilo ni jukumu la kila mchungaji ktk wajibu wa kulinda kondoo wake! Lkn kuleta siasa na kutolea mifano ya wazi kbs huku lugha na lengo tunaona ni kumdhoofisha mtu fulani ili were upate haikubaliki! Kila mmoja akae kwenye wito wake! Sidhani kama kila mtu akianza kumpiga mwenzie waumini tutasalimika! Waache vitisho kwa waumini wafundishe neno!
Mkuu kasanga kukemea manabii wa uongo ni sehemu ya mafundisho, kwani Biblia na Yesu mwenyewe anatufundisha juu ya dalili za ule mwisho. Usihofu kwamba eti mitume na manabii wa uwongo wakipingwa hadharani waumini hatutasalimika nadhani hayo ni mafundisho ya yule mwovu!
 
Nimekusoma the babtist!! Yangu ilikuwa ni hoja tuu ambayo niliona haijakaa sawa!
 
Nadhani unaelewa kuliko Mimi mpotoshaji, unaweza ukanielewesha tuu kwasababu una jumla ya maneno 481 unayoyajua kuhusu manabii na unabii! Na unaweza ukaueleza umma kama mm nilivopotosha hapo juu(kwa mujibu wako)! Hicho unachotaka nieleze ambacho sijakieleza kieleze wewe mtu msafi!
Ume declare kuwa wanakosewa kwa jinsi wanashambuliwa, ikanilazimu nikudodose tuone kama unazijua sifa za na Nabii.

Kumbe huzijui, yet unajitoa kimasomaso kuwatetea haiyumkini manabii wa uongo.

Watu wanaosema mambo kwa kujikinai wao wenyewe na wala hawakupewa unabii wowote na Mungu aliye hai.
 
Siko kiushindani call me any name you want! Naheshimu mawazo yangu siwezi kufanana na wewe jinsi unavofikiri na unavotaka iwe! Unavovijua wewe siwezi kuvijua Mimi!
 
Nimekusoma the babtist!! Yangu ilikuwa ni hoja tuu ambayo niliona haijakaa sawa!
Mkuu kasanga kipindi ulichokisikia wewe nadhani ni kile cha ijumaa hicho siyo meza ya busara bali kinaitwa Upanga wa Roho na chenyewe kimejikita kwenye mambo ya imani ya kikristo!
 
Mkuu kasanga kipindi ulichokisikia wewe nadhani ni kile cha ijumaa hicho siyo meza ya busara bali kinaitwa Upanga wa Roho na chenyewe kimejikita kwenye mambo ya imani ya kikristo!
Yaa inawezekana uwasilishaji wangu nimekosea but ilikuwa alhamis moja hivi nilimsikia mbogo anakiongoza hicho kipindi mchana na wachangiaji wakaanza kutiririka wakifedhuli sana watumishi wa Mungu iliniuma kwasababu najua madhara yake kwa jamii
 
Inawezekana hao wachangiaji walikuwa wanawafungua macho, si unajua kanisani hakuna kuulizana maswali?!!
 
Hahah wewe utakuwa ni Ngwajima...
 
Kwanza hawana elimu ya kutosha ya utangazaji Mkae mkijua wote tunataja jina moja la Yesu
 
Siko kiushindani call me any name you want! Naheshimu mawazo yangu siwezi kufanana na wewe jinsi unavofikiri na unavotaka iwe! Unavovijua wewe siwezi kuvijua Mimi!
Usiwahukumu hao unaodhani wanakosea, maana unaweza kujikuta unashindwa kuielimisha jamii imtambueje nabii wa uongo kwa kuzingatia maandiko.
Nitashusha vifungu soon.
 
Hivi karibuni nimekuwa nafatilia vipindi vyenu! Mnafanya vzr vipindi vingine lkn kuna kipindi Fulani kinaitwa meza ya busara na kuna kikundi Fulani kimetengenezwa na mnaemfahamu kuwajadili watumishi wa Mungu mbali2 wakiwemo mitume na manabii kwa kejeli nyingi sana na kuruhusu hadhila yaani umma wa wapiga simu uwahukumu watumishi mbali2 nataka niwakikishie hiyo sio kazi yenu! Na mkiendelea hivo mtakosa mvuto kabisaaaaa!

Pia kuna kakikundi Fulani kazi yao ni kujadili watumishi wanatakiwa watumikaje kwa kifupi ni kakikundi kakudhibiti mfumuko wa mitume na manabii kametengenezwa na MTU ili pengine kasiwe tishio kwa kanisa fulani kwa sasa na siku za usoni! Sio sawa!

Ninamengi lkn Leo niishie tu kuwaonya mmeshapoteza maelfu kwa hizo tabia zenu!

Nataka niwaambie bosi anayewaita watumishi wa Mungu ni mmoja naye ni Mungu huyo huyo aliyemwita hata bosi wenu kama kuna watumishi mnawaona wameitwa na shetani sio kazi yenu kuhukumu mwachieni anayeita watu ahukumu yy!

Kwasababu ninyi hamumjui mtu aliyeitwa na Mungu au shetani! Ili kulishinda giza fundisheni kweli ya Mungu yenye nuru sio misimamo binafsi ambayo sio neno la Mungu!

Msiuchie ulimwengu uje uwanange wachungaji au mitume au manabii nk hadharani tena na watu wasiomjua Mungu kisa tu mnataka msipungukiwe na waumini, uhalali wa chombo chenu unaondoka kwenye mstari hiyo kazi mwachieni Mungu! Mwambieni bosi wenu asome LUKA 9:50

Mkitaka kuwadhibiti hawa mitume, manabii, ambao ndio mwiba kwenu aandaeni kongamano kubwa la watumishi wa Mungu woote mje muweke mezani hoja zenu ijulikane manabii wapo au hawapo!
Hahahaa hili ndo moja la mitume na manabii ya uongo linaogopa kuumbuka.... majizi na machawi nyie mkome. Yamenivunjiaga ndoa yangu haya makenge yanajiita manabii
 
Back
Top Bottom