kasanga70
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 227
- 517
Hivi karibuni nimekuwa nafatilia vipindi vyenu! Mnafanya vzr vipindi vingine lkn kuna kipindi Fulani kinaitwa meza ya busara na kuna kikundi Fulani kimetengenezwa na mnaemfahamu kuwajadili watumishi wa Mungu mbali2 wakiwemo mitume na manabii kwa kejeli nyingi sana na kuruhusu hadhila yaani umma wa wapiga simu uwahukumu watumishi mbali2 nataka niwakikishie hiyo sio kazi yenu! Na mkiendelea hivo mtakosa mvuto kabisaaaaa!
Pia kuna kakikundi Fulani kazi yao ni kujadili watumishi wanatakiwa watumikaje kwa kifupi ni kakikundi kakudhibiti mfumuko wa mitume na manabii kametengenezwa na MTU ili pengine kasiwe tishio kwa kanisa fulani kwa sasa na siku za usoni! Sio sawa!
Ninamengi lkn Leo niishie tu kuwaonya mmeshapoteza maelfu kwa hizo tabia zenu!
Nataka niwaambie bosi anayewaita watumishi wa Mungu ni mmoja naye ni Mungu huyo huyo aliyemwita hata bosi wenu kama kuna watumishi mnawaona wameitwa na shetani sio kazi yenu kuhukumu mwachieni anayeita watu ahukumu yy!
Kwasababu ninyi hamumjui mtu aliyeitwa na Mungu au shetani! Ili kulishinda giza fundisheni kweli ya Mungu yenye nuru sio misimamo binafsi ambayo sio neno la Mungu!
Msiuchie ulimwengu uje uwanange wachungaji au mitume au manabii nk hadharani tena na watu wasiomjua Mungu kisa tu mnataka msipungukiwe na waumini, uhalali wa chombo chenu unaondoka kwenye mstari hiyo kazi mwachieni Mungu! Mwambieni bosi wenu asome LUKA 9:50
Mkitaka kuwadhibiti hawa mitume, manabii, ambao ndio mwiba kwenu aandaeni kongamano kubwa la watumishi wa Mungu woote mje muweke mezani hoja zenu ijulikane manabii wapo au hawapo!