WAPO radio mnakoelekea siko

WAPO radio mnakoelekea siko

Tutamjuaje kuwa huyu sii nabii wa uongo?
Be in the spirit! Warumi 8:9 huwezi kupima mambo ya rohoni ukiwa mwilini! Ukiwa rohoni unaweza kujua! Yaani hata mchawi kwakuwa yuko rohoni ktk ulimwengu wa roho wa Giza anajua watumishi wa uongo na wa kweli
 
Hivi karibuni nimekuwa nafatilia vipindi vyenu! Mnafanya vzr vipindi vingine lkn kuna kipindi Fulani kinaitwa meza ya busara na kuna kikundi Fulani kimetengenezwa na mnaemfahamu kuwajadili watumishi wa Mungu mbali2 wakiwemo mitume na manabii kwa kejeli nyingi sana na kuruhusu hadhila yaani umma wa wapiga simu uwahukumu watumishi mbali2 nataka niwakikishie hiyo sio kazi yenu! Na mkiendelea hivo mtakosa mvuto kabisaaaaa!

Pia kuna kakikundi Fulani kazi yao ni kujadili watumishi wanatakiwa watumikaje kwa kifupi ni kakikundi kakudhibiti mfumuko wa mitume na manabii kametengenezwa na MTU ili pengine kasiwe tishio kwa kanisa fulani kwa sasa na siku za usoni! Sio sawa!

Ninamengi lkn Leo niishie tu kuwaonya mmeshapoteza maelfu kwa hizo tabia zenu!

Nataka niwaambie bosi anayewaita watumishi wa Mungu ni mmoja naye ni Mungu huyo huyo aliyemwita hata bosi wenu kama kuna watumishi mnawaona wameitwa na shetani sio kazi yenu kuhukumu mwachieni anayeita watu ahukumu yy!

Kwasababu ninyi hamumjui mtu aliyeitwa na Mungu au shetani! Ili kulishinda giza fundisheni kweli ya Mungu yenye nuru sio misimamo binafsi ambayo sio neno la Mungu!

Msiuchie ulimwengu uje uwanange wachungaji au mitume au manabii nk hadharani tena na watu wasiomjua Mungu kisa tu mnataka msipungukiwe na waumini, uhalali wa chombo chenu unaondoka kwenye mstari hiyo kazi mwachieni Mungu! Mwambieni bosi wenu asome LUKA 9:50

Mkitaka kuwadhibiti hawa mitume, manabii, ambao ndio mwiba kwenu aandaeni kongamano kubwa la watumishi wa Mungu woote mje muweke mezani hoja zenu ijulikane manabii wapo au hawapo!
Fafanua hicho kipindi kiko siku gani ya wiki?!! Nijuavyo meza ya busara kinachoongozwa na Mbogo hujadili mada mbalimbali kulingana na matukio yanayotokea nchini!
 
Fafanua hicho kipindi kiko siku gani ya wiki?!! Nijuavyo meza ya busara kinachoongozwa na Mbogo hujadili mada mbalimbali kulingana na matukio yanayotokea nchini!
Mbogo he is smart lkn inaonekana agenda iliyoko nyuma inamzidi nguvu! Kama unafatilia wapo r utakijua sio kila siku ktk meza ya busara kuna mawiki kadhaa yamepita nilikisikia mwenyewe kilinichefua sana pia hao jamaa ambao hujadili watumishi wapo muulize mbogo atakwambia
 
Labda ungesema sifa za mtumishi wa Mungu sio nabii peke yake kuna makundi mawili tu ya watumishi wa Mungu yaani wale wenye wito mkuu na wale wanaotegemeza au kusaidia utendaji wa huo wito mkuu yaani Huduma tano! Wote wanafungwa kwenye kifungo kimoja tu cha sifa za utumishi! Sitaki niende huko but kasome biblia maana jibu ntakalokupa sina hakika kama utanielewa sifa kuu ni upendo, utakatifu na kuwa kielelezo kwa wale wanaokufuata! Hii ni kwasababu kila mtumishi ana kasoro ukianza kuchambua hutaweza hata Yesu hakukubalika na kila mtu lakini alikuwa kielelezo kwa wafuasi wake!
Good!
 
Mbogo he is smart lkn inaonekana agenda iliyoko nyuma inamzidi nguvu! Kama unafatilia wapo r utakijua sio kila siku ktk meza ya busara kuna mawiki kadhaa yamepita nilikisikia mwenyewe kilinichefua sana pia hao jamaa ambao hujadili watumishi wapo muulize mbogo atakwambia
Inawezekana ulisikia kipindi kingine, meza ya busara hushirikisha waumini wa dini na madhehebu karibia yote kuna kina mzee Hamis, sheikh Hongo, wachungaji kama Evaristo nk na mijadala huendeshwa kwa kuheshimiana bila kukwazana!
 
Be in the spirit! Warumi 8:9 huwezi kupima mambo ya rohoni ukiwa mwilini! Ukiwa rohoni unaweza kujua! Yaani hata mchawi kwakuwa yuko rohoni ktk ulimwengu wa roho wa Giza anajua watumishi wa uongo na wa kweli
Sihitaji kuwa mchawi ili nimjue Nabii.

Acha kuzungukazunguka, yatumie maandiko kutueleza "tutamjuaje kuwa huyu sii nabii wa uongo"
 
Inawezekana ulisikia kipindi kingine, meza ya busara hushirikisha waumini wa dini na madhehebu karibia yote kuna kina mzee Hamis, sheikh Hongo, wachungaji kama Evaristo nk na mijadala huendeshwa kwa kuheshimiana bila kukwazana!
Labda niseme issue yangu sio watumishi kukosolewa au kuonywa but wanaonya wapi, na nani, kinachofanyika Ile ni hukumu mezani! Wengine somo la maadili linatufanya tuhoji haya yote!
 
Sihitaji kuwa mchawi ili nimjue Nabii.

Acha kuzungukazunguka, yatumie maandiko kutueleza "tutamjuaje kuwa huyu sii nabii wa uongo"
Nahisi uelewa hapa ni tatizo! Nimekwambia kuwa rohoni ndio njia ya kujua huwa unasoma bible au unataka kujua kwa nguvu???? Biblia inasema zijaribuni roho mjue kama zatoka kwa Mungu! 1Yoh 4:1 sasa kama hutaki kusoma Bible Mimi ntakusaidiaje! Read and understand sio nazungukazunguka! Pia unahitaji kujua kuwa rohoni haimaanishi kuwa mtakatifu! You can be in spirit in two terms! Katika ufalme wa Mungu na katika ufalme wa Giza!
 
Labda niseme issue yangu sio watumishi kukosolewa au kuonywa but wanaonya wapi, na nani, kinachofanyika Ile ni hukumu mezani! Wengine somo la maadili linatufanya tuhoji haya yote!
Mkuu kasanga, kuna ubaya gani iwapo Askofu mwenye karama ya utambuzi atatutahadharisha kondoo wake juu ya mitume na manabii wa uwongo? Tena ni lazima awataje kwa majina ili tuwajue vizuri hao mbwa mwitu waliojivisha ngozi ya kondoo!!
 
Labda niseme issue yangu sio watumishi kukosolewa au kuonywa but wanaonya wapi, na nani, kinachofanyika Ile ni hukumu mezani! Wengine somo la maadili linatufanya tuhoji haya yote!
Jikite kwenye "NABII" tutoe ukakasi
 
Mkuu kasanga, kuna ubaya gani iwapo Askofu mwenye karama ya utambuzi atatutahadharisha kondoo wake juu ya mitume na manabii wa uwongo? Tena ni lazima awataje kwa majina ili tuwajue vizuri hao mbwa mwitu waliojivisha ngozi ya kondoo!!
Nimekuelewa vzr ni vizuri sana kama askofu akafanya hivo kama ameona au Mungu amemwambia na hilo ni jukumu la kila mchungaji ktk wajibu wa kulinda kondoo wake! Lkn kuleta siasa na kutolea mifano ya wazi kbs huku lugha na lengo tunaona ni kumdhoofisha mtu fulani ili were upate haikubaliki! Kila mmoja akae kwenye wito wake! Sidhani kama kila mtu akianza kumpiga mwenzie waumini tutasalimika! Waache vitisho kwa waumini wafundishe neno!
 
Nahisi uelewa hapa ni tatizo! Nimekwambia kuwa rohoni ndio njia ya kujua huwa unasoma bible au unataka kujua kwa nguvu???? Biblia inasema zijaribuni roho mjue kama zatoka kwa Mungu! 1Yoh 4:1 sasa kama hutaki kusoma Bible Mimi ntakusaidiaje! Read and understand sio nazungukazunguka! Pia unahitaji kujua kuwa rohoni haimaanishi kuwa mtakatifu! You can be in spirit in two terms! Katika ufalme wa Mungu na katika ufalme wa Giza!
Hili swali limenyooka.
Tutambuaje kuwa "huyu" si nabii wa uongo?

Toa andiko maana najua lipo.
Si busara kujisifu kusoma biblia,
 
Hili swali limenyooka.
Tutambuaje kuwa "huyu" si nabii wa uongo?

Toa andiko maana najua lipo.
Si busara kujisifu kusoma biblia,
Wewe sikuwezi kila nilichokujibu nimekuwekea andiko! Nadhani chukulia kwamba nimeshindwa kukujibu ni sawa tuu!
 
Uzuri WA hicho kipindi wanamuita mtume au nabii anajieleza na maswali yanafuata na ukisikia majibu ya manabii ndo utajua huyu mbwa mwitu alievaa ngozi ya kondoo..akibisha saana anaitwa alietapeliwa nae nabii anakiri anamjua ikishafika eneo la kutoa pesa ndo nabii anakosa ujasiri na utapeli wake kubainika...go on Mr Gamanywa biblia inasema tutawatambua kwa matendo Yao..acha tujue matendo Yao tuwakwepe
 
Hili swali limenyooka.
Tutambuaje kuwa "huyu" si nabii wa uongo?

Toa andiko maana najua lipo.
Si busara kujisifu kusoma biblia,
Nadhani unataka nitumie andiko la utamjua kupitia matendo! Hapo nimevuka kuna matendo mengine huwezi yaona kama utajudge kwa mile unachokiona tuu basi kuna mengi hutayajua kwa mtu
 
Uzuri WA hicho kipindi wanamuita mtume au nabii anajieleza na maswali yanafuata na ukisikia majibu ya manabii ndo utajua huyu mbwa mwitu alievaa ngozi ya kondoo..akibisha saana anaitwa alietapeliwa nae nabii anakiri anamjua ikishafika eneo la kutoa pesa ndo nabii anakosa ujasiri na utapeli wake kubainika...go on Mr Gamanywa biblia inasema tutawatambua kwa matendo Yao..acha tujue matendo Yao tuwakwepe
Bahati mbaya sijakutana na hicho kipindi wanachomuita mhusika nilisikia maada ya jumla tuu!
 
Back
Top Bottom