Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Mmiliki wa chadema Lowasa alisema tume ni huru na hataibiwa kura hata moja.Huna akili.
Tume huru hamtaki alafu unaleta upuuzi wako hapa!
Tume sio huru na matokeo ya uraisi yakishatangazwa hayohijiwi mahali popote pale alafu bila aibu mnajisifu kushinda uchaguzi!
Mnafiki wa kiwango cha juu sana wewe!
Kweli bora mchawi kuliko mnafiki.
ninyi pigeni kura tu, suala la matokeo niachieni mimi 'Lowasa (2015)..hio tume ya uchaguzi inayolalamikiwa na upinzani kwenye uchaguzi,kwa nini haivunjwi,au hairuhusiwi kisheria?
Bado hujapona na ule ulemavu wako wa akili,go to get further Brain Treatments out Tz. maana ndiyo wanakuharibu zaidi daily unazidi kufyatuka.WAPINZANI WATAENDELEA KUSHIRIKI UCHAGUZI BILA KUSHIKA DOLA
Mwaka 2014, nilichekeshwa na makala kuhusu India, iliyoandikwa na mwandishi wa nchi hiyo, Rakesh Dubbudu. Aliandika kuwa vyama vya siasa nchini humo vinakua kwa kasi kuliko ukuaji wa uchumi wa nchi.
Kichekesho ni kuwa India ni moja ya mataifa duniani ambayo uchumi wake unakua kwa kasi. Umaskini kama Taifa na kwa wananchi wake umeshaonyeshwa njia pana ya kutokea. Hata hivyo, eti vyama vya siasa vinazidi kasi ya uchumi kwa namna vinavyokua.
Tanzania ina vyama zaidi ya 20 lakini vinavyoshiriki na angalau kushinda ubunge na udiwani ni vitano.
Chadema ambacho ndiye kinara wa upinzania Tanzania, wamekuwa wakitumia mtindo wa operesheni lukuki kama M4C,Sangara,Ukuta,Kata funua na kuishia kuchukua wagombea kutoka CCM.
CUF nguvu kubwa ipo Zanzibar huku tegemeo likiwa ni Sefu, NCCR-Mageuzi chenye mbunge mmoja ni chama chenye homa za vipindi mara kipotee mara kiibuke.
ACT-Wazalendo kimeanza miaka michache iliyopita kina mbunge mmoja,madiwani kadhaa na kinaongoza halmashauri moja huko mkoani Kigoma.
Tume huru inapatikanaje?Tegemeo na kiburi kikubwa cha ccm ni tume ya uchaguzi tu kwa sasa. na ww mleta mada unalijua hilo ndiyo maana umeandika haya uliyo yaandika.
vyama vya upinzani kwa sasa hv siyo tanzania tu vina nguvu kubwa mno. hii ni kutokana na changamoto za ongezeko la watu ambapo hakuna serikali ambayo inaweza kukamilisha matamanio ya watu inao waongoza.
sasa kwa afrika hata upinzani ufanye maajabu gani bado watawala wataamua yao kama tulivyoona gambia, uganda na sehemu nyinginezo
Wamewafunga watu kamba za miguu na mikono kisha wanawalaumu hawawezi kuogolea,wekeni tume huru basi nyie magamba.
Mpaka tutakapopata upinzani imara, siyo vigeugeu kama hawa wapiga dillUnataka CCM itawale mpaka lini?
jenga hoja na si kulia lia.Bado hujapona na ule ulemavu wako wa akili,go to get further Brain Treatments out Tz. maana ndiyo wanakuharibu zaidi daily unazidi kufyatuka.