wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 775
Kumbe ni wwwe unaeleta siri zetu huku na kujigamba eeeh??? Tunavyoongea na wewe mtaani unadhani yote ni ya kweli? Chunga mdomo kijana rafiki yetu wa mtaani
Mimi nimekuwa napata taarifa nyingi hasa. Chanzo ni marafiki zangu waliopo nafasi za juu kabisa.
In short, katika wote hao, hakuna hata mmoja anayefurahia au kuunga mkono yanayoendelea. Siwezi nikatoka hadharani kutangaza, kwa sababu ya usalama wa kazi wa marafiki zangu maana nyingine ukizitoa tu, hata bila ya kutaja majina yao, itajulikana ni wao waliovujisha.
Tunajua maovu yote pamoja na yanayopangwa. Wengi wanasikitishwa sana na uwepo wa kikundi cha maharamia ndani ya taasisi, na kikundi hicho ambacho hakina mafunzo yoyote, ndicho kinachoaminiwa sana. Hicho ndicho cha watekaji, wapotezaji na watesaji. Uzuri, wote wanafahamika, na wanaongozwa na mtoto wa baba mwenye kujifanya mcha Mungu ilihali ni shetani wa mauaji, utekaji na utesaji.
