Wapinzani wanapata wapi ripoti za TISS?

Wapinzani wanapata wapi ripoti za TISS?

Kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna ripoti ya TISS inasema Chadema wangeshinda ule uchaguzi na wanayo hiyo ripoti (wao wapinzani) cha ajabu huo uchaguzi Chadema walishindwa

Leo hii Zitto nae anasema kuna ripoti nyingine ya TISS inasema Magufuli atashindwa uchaguzi , swali ni Je hawa wapinzani wanapataje hizi ripoti sababu TISS wako ofisi ya Rais na ni chombo cha dola ambacho kinafanyia kazi gizani(duniani kote iko hivyo) na haitokei kikafanya kazi open

Wanapataje hizo ripoti? Hawaoni aibu kuwadanganya wananchi danganya toto ?

Kama kuna mtu anadhani TISS wote wanafurahia ukatili na uonevu wanaofanyiwa wananchi wasio hatia huyo anajidanganya!
Ndiyo maana viongozi waovu hung'ang'ania madarakani,wanajua maovu yao yanajulikana. Wanaogopa visasi baada kuacha madaraka
 
Kwani hao tiss ni maroboti useme wamesetiwa kiofisi tuu hawana marafiki wa kupiga nao stori?
Kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna ripoti ya TISS inasema Chadema wangeshinda ule uchaguzi na wanayo hiyo ripoti (wao wapinzani) cha ajabu huo uchaguzi Chadema walishindwa

Leo hii Zitto nae anasema kuna ripoti nyingine ya TISS inasema Magufuli atashindwa uchaguzi , swali ni Je hawa wapinzani wanapataje hizi ripoti sababu TISS wako ofisi ya Rais na ni chombo cha dola ambacho kinafanyia kazi gizani(duniani kote iko hivyo) na haitokei kikafanya kazi open

Wanapataje hizo ripoti? Hawaoni aibu kuwadanganya wananchi danganya toto ?
 
Kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna ripoti ya TISS inasema Chadema wangeshinda ule uchaguzi na wanayo hiyo ripoti (wao wapinzani) cha ajabu huo uchaguzi Chadema walishindwa

Leo hii Zitto nae anasema kuna ripoti nyingine ya TISS inasema Magufuli atashindwa uchaguzi , swali ni Je hawa wapinzani wanapataje hizi ripoti sababu TISS wako ofisi ya Rais na ni chombo cha dola ambacho kinafanyia kazi gizani(duniani kote iko hivyo) na haitokei kikafanya kazi open

Wanapataje hizo ripoti? Hawaoni aibu kuwadanganya wananchi danganya toto ?
Double agents wapo kazini kila pande usikute mbowe anavijana wake watiifu
 
Kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna ripoti ya TISS inasema Chadema wangeshinda ule uchaguzi na wanayo hiyo ripoti (wao wapinzani) cha ajabu huo uchaguzi Chadema walishindwa

Leo hii Zitto nae anasema kuna ripoti nyingine ya TISS inasema Magufuli atashindwa uchaguzi , swali ni Je hawa wapinzani wanapataje hizi ripoti sababu TISS wako ofisi ya Rais na ni chombo cha dola ambacho kinafanyia kazi gizani(duniani kote iko hivyo) na haitokei kikafanya kazi open

Wanapataje hizo ripoti? Hawaoni aibu kuwadanganya wananchi danganya toto ?

Mkuu tumia akili ya kawaida tu, kuna siri ya watu wawili dunia hii?
 
Na umri huu sijawahi ona hata ukurasa mmoja wa nyaraka hata moja tu ilioandikwa na TISS
Mimi nimekuwa napata taarifa nyingi hasa. Chanzo ni marafiki zangu waliopo nafasi za juu kabisa.

In short, katika wote hao, hakuna hata mmoja anayefurahia au kuunga mkono yanayoendelea. Siwezi nikatoka hadharani kutangaza, kwa sababu ya usalama wa kazi wa marafiki zangu maana nyingine ukizitoa tu, hata bila ya kutaja majina yao, itajulikana ni wao waliovujisha.

Tunajua maovu yote pamoja na yanayopangwa. Wengi wanasikitishwa sana na uwepo wa kikundi cha maharamia ndani ya taasisi, na kikundi hicho ambacho hakina mafunzo yoyote, ndicho kinachoaminiwa sana. Hicho ndicho cha watekaji, wapotezaji na watesaji. Uzuri, wote wanafahamika, na wanaongozwa na mtoto wa baba mwenye kujifanya mcha Mungu ilihali ni shetani wa mauaji, utekaji na utesaji.
 
Kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna ripoti ya TISS inasema Chadema wangeshinda ule uchaguzi na wanayo hiyo ripoti (wao wapinzani) cha ajabu huo uchaguzi Chadema walishindwa

Leo hii Zitto nae anasema kuna ripoti nyingine ya TISS inasema Magufuli atashindwa uchaguzi , swali ni Je hawa wapinzani wanapataje hizi ripoti sababu TISS wako ofisi ya Rais na ni chombo cha dola ambacho kinafanyia kazi gizani(duniani kote iko hivyo) na haitokei kikafanya kazi open

Wanapataje hizo ripoti? Hawaoni aibu kuwadanganya wananchi danganya toto ?
" Ukiuwa kwa upanga utauawa kwa upanga " unaambiwa hata waliomshambulia Lissu video za shambulio zitatolewa kabla ya uchaguzi , kaa mkao wa kula
 
That's a million dollar question. By the time tunakuja kugundua hii ni michezo tu ya kuigiza baadhi ya wa Tz watakua wameumia na baadhi kufariki wakicheza maigizo wasiyoyajua
 
Zito alichokifanya ni Uchinganishi,

Hapo alipo anasikilizia,

Ila inaweza mcost.
 
Kwani wasiojulikana wanajulikana vipi,sio wote upendezwa na yaliyogizani.Watz uunganishwa na utanzania hata wao Si kwamba wanayapenda watendewayo watz.
 
Waziri wa Uingereza anayeshughulika na Afrika Andrew Stephenson ameeleza kusikitishwa na kushikiliwa kwa mwandishi wa habari za kiuchunguzi nchini Tanganyika, Erick Kabendera. Waziri huyo ameongeza kuwa, mwenendo wa mashtaka dhidi ya Kabendera ni mkakati kumzuia asifanye kazi yake.

Ngoja tusikie tamko la waziri wa Tanganyika anayeshughulikia masuala ya Ulaya kuhusu hilo suala.
 
TISS nao ni watu nao wana mioyo na wana wake na wana wanaume habari husambaa kama moto. Wahenga walisema dunia haina siri.

Pia TISS kama watu wengine ni watu wenye marafiki na ndugu isitoshe sio kila kitu wanachoamrishwa na mabosi wao kufanya nafsi zao hupenda. Ni majukumu ya kazi tu ndiyo yanayowalazimisha kutekeleza wanayoamrishwa. Ni kazi ngumu sana.
 
Nawashangaa sana waTz kama kuna MTU bado huwa anamwamini Zitto ,chadema wenyewe hawamini mpaka Leo
 
Back
Top Bottom