Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,169
- 48,681
Unaposema mnyama fulani ana akili sana maana yake ni kwamba mnyama huyo ana uwezo wa kutunza kumbukumbu ipasavyo. Kinyume chake pia ni kweli.
Hii pia iko applicable kwa watu. Kama huna kumbukumbu basi wewe ni tahira.
Kuna watu si Matahira ila hujifanya matabira kwa makusudi.
Magufuli ndiye baba wa uharibifu wa Demokrasia Tanzania iliyojengwa kwa muda mwingi.
Hotuba zake za awali alifuta kabisa shuguli za kisiasa kwa vyama vyote ilhali yeye na team yake akiwemo Polepole walikuwa hawalali kujinadi wao na CCM kiujumla.
Wapinzani kila walipoinuka walikutana na buti la askari. Ilifika wakati mpaka vikao vya ndani CHADEMA wakinaliza tu nje kuna gari ya polisi yenye maelekezo kutoka juu watu wanapelekwa central.
2019 akaunajisi uchaguzi wote wa local government.
2020 wagombea udiwani na ubunge wa CCM wakajizolea vyeo baada ya wapinzani kuambiwa hawajui kuandika majina yao.
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 wapinzani hawakujipanga vizuri wenyewe, 2025 wakasusia uchaguzi mkuu wakiamini wazungu wana nguvu ya kuweza kuamua juu ya Tanzania kwamba uchaguzi ufanyike au usifanyike. Walipoona wazungu hawajawatetea waka organize uharibifu pamoja na taasisi za dini fulani. Watu wa dini walikuwa na vision yao while wapinzani walikuwa na nia ya kurudisha kisasi cha Magufuli kwa Samia.
Kwa ufupi wamefeli, watafeli na kufeli zaidi.