cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,317
- 7,509
Jana wabunge wa EALA kutoka Tanzania wametoka nje ya bunge wakipinga sheria ya ushuru wa forodha ,na ikumbukwe wabunge wengi EALA kutoka Tanzania ni wametokana na ccm na wamechaguliwa na bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Wabunge wa ccm walikuwa wanatumia lugha ya kejeli,maudhi,dharau dhidi ya wabunge wa upinzani pale walipokuwa wanatoka bungeni wakipinga jambo fulani
Hata wanaccm nje ya bunge hawakuwa nyuma kuwatolea lugha chafu wabunge hawa waliosusia vikao
Ushauri mara nyingi ulikuwa wabunge wa upinzani hawapaswi kuondoka bungeni inapaswa wapambane humo humo mpaka kieleweke kuliko kutoka nje
Je hawa wa EALA wameshindwa kupambana humo humo mpaka kieleweke badala ya kutoka nje?
Na cha ajabu mpaka kiti cha Spika Ndugai kilikuwa kinawakejeli wabunge wa upinzani waliosusia vikao
Lakini sijaona wale wakosoaji wa wabunge nje wakiandika na wakikejeli wabunge wa EALA kususia vikao vya EALA ,badala yake wamepongezwa
Nimeamini kwa akili hizi walizonazo watanzania, tuna miaka milioni kujitambua
Tunafanya ushabiki wa kipumbavu sana kwa mambo ya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app