Wapinzani wakitoka bungeni Tanzania kwa kupinga jambo fulani wanapewa majina ya ajabu ila huko EALA ni mashujaa

cutelove

cutelove

JF-Expert Member
2,622
2,000
Jana wabunge wa EALA kutoka Tanzania wametoka nje ya bunge wakipinga sheria ya ushuru wa forodha ,na ikumbukwe wabunge wengi EALA kutoka Tanzania ni wametokana na ccm na wamechaguliwa na bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Wabunge wa ccm walikuwa wanatumia lugha ya kejeli,maudhi,dharau dhidi ya wabunge wa upinzani pale walipokuwa wanatoka bungeni wakipinga jambo fulani

Hata wanaccm nje ya bunge hawakuwa nyuma kuwatolea lugha chafu wabunge hawa waliosusia vikao

Ushauri mara nyingi ulikuwa wabunge wa upinzani hawapaswi kuondoka bungeni inapaswa wapambane humo humo mpaka kieleweke kuliko kutoka nje

Je hawa wa EALA wameshindwa kupambana humo humo mpaka kieleweke badala ya kutoka nje?

Na cha ajabu mpaka kiti cha Spika Ndugai kilikuwa kinawakejeli wabunge wa upinzani waliosusia vikao

Lakini sijaona wale wakosoaji wa wabunge nje wakiandika na wakikejeli wabunge wa EALA kususia vikao vya EALA ,badala yake wamepongezwa

Nimeamini kwa akili hizi walizonazo watanzania, tuna miaka milioni kujitambua

Tunafanya ushabiki wa kipumbavu sana kwa mambo ya msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SheriaE

SheriaE

JF-Expert Member
438
500
Kwani Ni wabunge wote, huwa wanakosoa swala la kutoka nje kwa wapinzani.?

Kwanza EALA Ndio Nini?
 
M

mangatara

JF-Expert Member
14,341
2,000
Haikosi weye ni wale wale mnaopinga kila kitu chema. Ulitaka waonesheje hisia zao zaidi ya kutoka nje?? Kule ni EALA huku kwetu ni Mjengoni. Kuna tofautim kubwa. Waliotoka ni Tanzania sio wapinzani.
 
DiasporaUSA

DiasporaUSA

JF-Expert Member
22,834
2,000
Ma ccm ni mandumilakuwili ya kimataifa yakfuatiwa na Chadema then Act Wazalendo.
 
Halaiser

Halaiser

JF-Expert Member
1,827
2,000
Haikosi weye ni wale wale mnaopinga kila kitu chema. Ulitaka waonesheje hisia zao zaidi ya kutoka nje?? Kule ni EALA huku kwetu ni Mjengoni. Kuna tofautim kubwa. Waliotoka ni Tanzania sio wapinzani.
Elimu nzuri ya awali huanzia nyumbani kwenu. Hii ina maana hawa Wabunge hawa wemejifunza toka nyumbani kwao kuwa kutoka nje ni njia mojawapo yakutokuunga mkono jambo fulani. Na kwakuwa kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kuna Demokrasia ya kweli basi kutoka kwao kulionyesha mapungufu ya kisheria ktk kupitisha muswada ule bila wao.

Kwa hapa nyumbani wabunge wa ccm na spika wao hutumia ule msemo usemao "ukisusa wenzio twala" na kwakuwa Demokrasia ndiyo hivyo tena hapo Mjengoni basi Bunge hugeuka kuwa la chama kimoja na kila muswada utipitishwa kwa mbwe mbwe. Na baada ya muda fulani utasikia serikali imeurudisha muswada ule kwa hati ya dharura kufanyiwa marekebisho.

Kifupi ni kwamba ccm ni janga ktk Taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

mangatara

JF-Expert Member
14,341
2,000
Wapinzani ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapinzani Tz ni wale wabunge (Kule mjengoni) wanaopinga kila kitu huku Tz. Kuanzia makinikia hadi mikataba feki. Wao watapinga kuwa ni hallal. Wao watasema hata kitaifa hawataki maji ya Viktoria yanywewe pale Singida. Hao ndo wapinzani. Haya swalim jingine?
 
Na huko EALA wapinzani ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

mangatara

JF-Expert Member
14,341
2,000
Elimu nzuri ya awali huanzia nyumbani kwenu. Hii ina maana hawa Wabunge hawa wemejifunza toka nyumbani kwao kuwa kutoka nje ni njia mojawapo yakutokuunga mkono jambo fulani. Na kwakuwa kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kuna Demokrasia ya kweli basi kutoka kwao kulionyesha mapungufu ya kisheria ktk kupitisha muswada ule bila wao.

Kwa hapa nyumbani wabunge wa ccm na spika wao hutumia ule msemo usemao "ukisusa wenzio twala" na kwakuwa Demokrasia ndiyo hivyo tena hapo Mjengoni basi Bunge hugeuka kuwa la chama kimoja na kila muswada utipitishwa kwa mbwe mbwe. Na baada ya muda fulani utasikia serikali imeurudisha muswada ule kwa hati ya dharura kufanyiwa marekebisho.

Kifupi ni kwamba ccm ni janga ktk Taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hawa wabunge wa huko EALA waliambukizwa kirusi hicho cha kutoka nje ya bunge na wale waliotoka upinzani huku kwetu. Wana hizo silika kindakindaki
 
N

njinjo

JF-Expert Member
2,283
2,000
Jana wabunge wa EALA kutoka Tanzania wametoka nje ya bunge wakipinga sheria ya ushuru wa forodha ,na ikumbukwe wabunge wengi EALA kutoka Tanzania ni wametokana na ccm na wamechaguliwa na bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Wabunge wa ccm walikuwa wanatumia lugha ya kejeli,maudhi,dharau dhidi ya wabunge wa upinzani pale walipokuwa wanatoka bungeni wakipinga jambo fulani

Hata wanaccm nje ya bunge hawakuwa nyuma kuwatolea lugha chafu wabunge hawa waliosusia vikao

Ushauri mara nyingi ulikuwa wabunge wa upinzani hawapaswi kuondoka bungeni inapaswa wapambane humo humo mpaka kieleweke kuliko kutoka nje

Je hawa wa EALA wameshindwa kupambana humo humo mpaka kieleweke badala ya kutoka nje?

Na cha ajabu mpaka kiti cha Spika Ndugai kilikuwa kinawakejeli wabunge wa upinzani waliosusia vikao

Lakini sijaona wale wakosoaji wa wabunge nje wakiandika na wakikejeli wabunge wa EALA kususia vikao vya EALA ,badala yake wamepongezwa

Nimeamini kwa akili hizi walizonazo watanzania, tuna miaka milioni kujitambua

Tunafanya ushabiki wa kipumbavu sana kwa mambo ya msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
7,800 unaitafutia wapi leo?
 
Halaiser

Halaiser

JF-Expert Member
1,827
2,000
Nadhani hawa wabunge wa huko EALA waliambukizwa kirusi hicho cha kutoka nje ya bunge na wale waliotoka upinzani huku kwetu. Wana hizo silika kindakindaki
Kama ndivyo iweje basi huku home waonekane mashujaa?? CCM kila wakati tunasema hawajitambui. Kwao ushabiki ni bora sana kuliko hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
14,383
2,000
Jana wabunge wa EALA kutoka Tanzania wametoka nje ya bunge wakipinga sheria ya ushuru wa forodha ,na ikumbukwe wabunge wengi EALA kutoka Tanzania ni wametokana na ccm na wamechaguliwa na bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania

Wabunge wa ccm walikuwa wanatumia lugha ya kejeli,maudhi,dharau dhidi ya wabunge wa upinzani pale walipokuwa wanatoka bungeni wakipinga jambo fulani

Hata wanaccm nje ya bunge hawakuwa nyuma kuwatolea lugha chafu wabunge hawa waliosusia vikao

Ushauri mara nyingi ulikuwa wabunge wa upinzani hawapaswi kuondoka bungeni inapaswa wapambane humo humo mpaka kieleweke kuliko kutoka nje

Je hawa wa EALA wameshindwa kupambana humo humo mpaka kieleweke badala ya kutoka nje?

Na cha ajabu mpaka kiti cha Spika Ndugai kilikuwa kinawakejeli wabunge wa upinzani waliosusia vikao

Lakini sijaona wale wakosoaji wa wabunge nje wakiandika na wakikejeli wabunge wa EALA kususia vikao vya EALA ,badala yake wamepongezwa

Nimeamini kwa akili hizi walizonazo watanzania, tuna miaka milioni kujitambua

Tunafanya ushabiki wa kipumbavu sana kwa mambo ya msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri kuwa wabaki humo humo, umewahi kutolewa na nani? "Quotes" usiseme wengi tu
 
jd41

jd41

JF-Expert Member
3,758
2,000
CCM ni wanafiki siku nyingi tu, kama wewe ndio umetambua leo hongera.

Halafu unasema kwa akili hizi walizonazo watanzania tuna miaka milioni moja kujitambua, kwanini wawe watanzania wote na sio CCM? ujinga wa jirani yangu hauwezi kunifanya na mimi niwe mjinga, ni ujinga wake tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom