Wapinzani wakabidhiwe wizara ya nishati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapinzani wakabidhiwe wizara ya nishati

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Jul 26, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  rais kikwete nakuomba wakabidhi wapinzani waendeshe wizara ya nishati
  nathubutu kukueleza wazi hali ni mbaya nchini kwa ukosefu wa umeme
  kwa taarifa yako yanaweza yakakukuta makubwa siku za mbele kwa sababu ya swala la umeme
  ukiwapa wapinzani utakuwa umejiepusha na jambo moja zito mno
  ni ushauri wa bure
   
 2. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hii kidogo kidogo haitafaa, wanaweza kuwapa halafu wakaweka mizengwe kwingine mfano hazina nk. Tuwe wakweli tu ccm imefika mwisho, hawana na hawajui la kufanya, suluhisho wapishe wengine waongoze nchi..
   
 3. a

  amaniwakusoma Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikweli kabisa muheshimiwa rais Jakaya! Mpe Dr. Slaa wizara, na idara zote chini yake maana ninyi mmeigeuza kuwa janga la kitaifa!!
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mi naona Jk angegawa mamlaka yote kuanzia Waziri mkuu hadi wakurugenzi wa Wizara kwa Wapinzani then yeye abaki na urais then aongeze zaidi safari za ulaya ili vijana huku wafanye kazi.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  Jkaya hawezikufanya hizi .. roho yake lama ya mubaraki
  mubaraki waru walivyoandamana aliasambaza vifaru mitaani badae akalipa watu ili kwenda kumsapoti mtaani lakini ayt the end alidondoka .. huyu JK anaelekea huko huko dharau zake zitammaliza .. yeye alipochukua madaraka alikuwa ahjui kuwa wananchi wanzaliaana na dmeand ya umemem lazima iongezeke>??
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hapa tulipofika hakuna la kufanya zaidi ya kuomba kufanya kazi na wapinzani
   
 7. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  hana akili hiyo na kama anayohawezi kuthubutu kwakuwa anaona ataonekana mjinga
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,679
  Trophy Points: 280
  Kwa kawaida kama mwili mzima una umwa ukitibu mguu mmoja kero iko palepale,watoke wote ili tuchape kazi tulio na uchungu na nchi hii!
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ccm waache ubishi usioleta tija kwa taifa,wameshindwa na wakubali hilo,tujaribishe tuone wapinzani watafanya nini
   
 10. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Labda akabidhi Ikulu kwa Dr Slaa, maana shida ipi hapo Ikulu wala si kwa watendeji kwani unataka kusema Mkapa aliondoka na watu wote waliokuwepo serikali kipindi chake.
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Washinde uchaguzi watapewa wizara zote wacha hiyo moja.
   
 12. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  nilishatoa hili wazo siku nyingi kabla hata ya uchaguzi hapa kwenye mtandao. Raisi aweke waziri wa upinzani kwenye Nishati na madini
   
Loading...