Hii ni mpya ndugu yangu? Yaani jamabazi anatuhumu kuwa anataka kuibiwa na mchungaji? Hii ndo awamu ya tano. Awamu ya namba tasa ya kiukweli. Yaani CCM huwa hawaishiwi vituko. Nataka niwaone mpaka Nov. 24 watakuwa wamafanya yapi.Hata Kama Mama zenu hawakua na maziwa ya kutosha kutokana na lishe duni,hivi hata hakukua na jirani aliyekua mfugaji japo mpate maziwa ya ng'ombe?mnatia mashaka akili zenu.
Nahisi huyo aliyecomment wakwanza ndiye amaeanzisha huu uzi. Maana anateseka sana tangu Oct. 29.Rudi shule ukajifunze propaganda, wananchi wameshaamka wanajua kila uchafu unaoendelea ndani ya utawala huu.
jera - jelaHawataweza wataishia jera maana mbinu zao zinajulikana kabla hawajafanya
Bongo upinzani bado sana
State agent
Ujitoe ufahamuhakika kuitetea CCM inabidi uwe na akili ya maiti.
JERA ndio nini fisi majiHawataweza wataishia jera maana mbinu zao zinajulikana kabla hawajafanya
Bongo upinzani bado sana
State agent
Mhh acheni uwakala wa kuharibu nchi jmnHawataweza wataishia jera maana mbinu zao zinajulikana kabla hawajafanya
Bongo upinzani bado sana
State agent
Halafu CCM wamekuwa wachovu kweli! Yaani CCM wanisimamishie mgombea uenyekiti mtaa tunamjua ni mlevi, mpenda rushwa na kipindi kilichopita ametukwamisha mambo mengi hapa mtaani?hakika kuitetea CCM inabidi uwe na akili ya maiti.
Umeandka vzr sana!Hata Kama Mama zenu hawakua na maziwa ya kutosha kutokana na lishe duni,hivi hata hakukua na jirani aliyekua mfugaji japo mpate maziwa ya ng'ombe?mnatia mashaka akili zenu.
Ni kweli wameamka wanajua pumba ya upinzani hawasumbuki nao. Mara hakuna kujiandikisha mara tena eti wananyimwa fomu sasa watapigiwa kura na nani wakati wanasaccos wenzenu hawakujiandikisha??Rudi shule ukajifunze propaganda, wananchi wameshaamka wanajua kila uchafu unaoendelea ndani ya utawala huu.
Nilihusika kwenye zoezi la uandikishaji wa wapiga kura,tulipewa agizo na wakubwa kuandka majina hewa na haya majina hewa yatakuja na kura hewahakika kuitetea CCM inabidi uwe na akili ya maiti.
Watapikiwa kura na nani wakati hawakujiandikisha mliwakataza!!Nilihusika kwenye zoezi la uandikishaji wa wapiga kura,tulipewa agizo na wakubwa kuandka majina hewa na haya majina hewa yatakuja na kura hewa
Iko hivi;kwenye zile kata au vitongoji ambavyo ccm wanauhakika wa kushinda basi wanatoa form kwa wagombea bila kipingamizi lkn,kwenye vitongoji ambavyo wanajua kuwa watashindwa wanawatoroka wagombea wa upinzani!
Duh,wewe kibokoWatapikiwa kura na nani wakati hawakujiandikisha mliwakataza!!
Ni kweli wameamka wanajua pumba ya upinzani hawasumbuki nao. Mara hakuna kujiandikisha mara tena eti wananyimwa fomu sasa watapigiwa kura na nani wakati wanasaccos wenzenu hawakujiandikisha??