Opportunistic
Member
- Oct 30, 2019
- 18
- 11
Propaganda huwezi unajilazimisha kwa ajili ya njaa taja mafanikio ya chama chako nakushauri ubaki kuwa mpiga kura huna ushawishi badala kujenga unabomoa
Kwani unafikiri wote wa CCM watskuwa wanamkubali huyo mgombea?Watapikiwa kura na nani wakati hawakujiandikisha mliwakataza!!
Huo utafiti umehoji watu wangapi mbona kwetu sijakuona,njaa inakutoa.ili uendelee na ajira yako ni bora wawepo walifurika ajira huna utakuwa karaiWewe subiri tarehe 5, kama kuna mpinzani atateuliwa kuwa mgombea huyo aliyemteua ajipange, maana watu wanasema hawataki kampeni, wapinzani watatumia kampeni kuichafua serikali na kudanganya watu . ndio maana hamtakiwi kukatiza hyo tarehe 5, subirini red card kabla hata game haijaanza na mashine zote za VAR zitakuwa zimeondolewa uwanjani
Una uhakika na hayo mkuu? Kwenye mitandao lazima uchuje habari mkuu!Hata kama ukisikia huelewi, je hata KUSOMA na KUONA kwa macho bado unakuwa huelewi tu??
View attachment 1252924View attachment 1252924
Mfano kuna mwenzetu ameleta habari ya huyu Mtendaji wa Kijiji cha NZEGA NDOGO (pichani) kukimbia ofisi na kufanyia kazi za kiofisi mafichoni ambako ni CCM tu wanajua eti ili tu wagombea wa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani wasipate nafasi ya kusainiwa fomu zao na mwisho kabisa deadline ifike wakose haki yao....
Hii imetokea huko wilayani Nzega mkoa wa Tabora....
Ili uweze kutushawishi kuwa hisia zako hizo ni za kweli, ulipaswa kuwa na ushahidi kuthibitisha propaganda zako....!!
Mfano kwenye habari hii iliyotokea huko NZEGA, Tabora;
å Kijiji cha mtendaji aliyefanya ujinga huu kimetajwa (NZEGA NDOGO)
å Picha ya Mtendaji wa kijiji husika imepigwa na kuoneshwa (ndiyo hapo juu)
Sasa ulishindwa kujiridhisha nini ku - prove kuwa huu ni uongo kwa kuja na maelezo kuka - counter attack ushahidi huu???
Wewe huyuhuyu ilisema hamshiriki angalia comments zako wakati wauandikishaji wa wapigakura leo tena umekuja kivingine!! Ama kweli nyinyi ni wazee wa kubadilisha gia angani!!!Suala la kupigiwa kura halina mahusiano na kunyimwa fomu, huenda hujui unaloongea. Tunataka wachukue fomu kisha siku ya kupiga kura tuonyeshe ni jinsi gani ccm haikubaliki. Mnataka mgombea wa ccm apite bila kupingwa ili mfiche aibu ya watu kususia huo uhanithi?
Wewe huyuhuyu ilisema hamshiriki angalia comments zako wakati wauandikishaji wa wapigakura leo tena umekuja kivingine!! Ama kweli nyinyi ni wazee wa kubadilisha gia angani!!!
Hawataweza wataishia jera maana mbinu zao zinajulikana kabla hawajafanya
Bongo upinzani bado sana
State agent
hawa ndio wameamka ?Ni kweli wameamka wanajua pumba ya upinzani hawasumbuki nao. Mara hakuna kujiandikisha mara tena eti wananyimwa fomu sasa watapigiwa kura na nani wakati wanasaccos wenzenu hawakujiandikisha??
Hao wanachapa kazi dada! Huwaoni wanakusaidia kusafisha mji?hawa ndio wameamka ?
View attachment 1253477