Wapinzani Tanzania ni Wanafiki - SAMWEL SITTA

Wapinzani Tanzania ni Wanafiki - SAMWEL SITTA

Waungwana, it is a pity that kwa mtu aliyetumainiwa kama Samwel Sitta kutoa kauli kama zile dhidi ya upinzani. Pamoja na kuwa yupo CCM , lakini alionekana kusema ukweli hata kama utawaudhi wenzake wa CCM. jana sikuamini kauli zake alizozitoa bungeni. Mheshimiwa Sitta, umetuvunja moyo. Ilikuwa inatia moyo kuwa pamoja na kuwa uko CCM, pale penye ukweli ulikuwa unautetea hata kama unatoka kwa wapinzani. Labda kukaimu nafasi ya Waziri mkuu bungeni kumetengua msimamo wako wa kutetea haki, wanyonge etc. TUMEKWISHA, KAMA NI NDIVYO ULIVYO, BASI EL ATAUKWAA URAIS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Maana bila wewe hakuna tena CCM wa kutetea wanyonge. I stand to be corrected.
mkuu, uyaonayo na kuyasikia toka kwa 6 usiyashangae, ni matokeo ya semina elekezi, ahadi za nyadhifa na kuuachia ujinga mahala pa werevu, usimwamini 6 kuanzia sasa hata milele, sema AMEN
 
Ndivyo alivyo. Wachawi wote mwisho huweweseka. Eti alianzisha CCJ ili agombee Urais.! Kuweni macho watanzania na wachawi hawa;
 
Bora 2015 tusichague rais isipokuwa kule tunakoomba misaada kila mwaka ,mwaka 2015 tuombe msaada wa kupatiwa rais kwani tatizo letu ni viongozi nafikia wazo hili kwa sababu sijaona tena rais mzalendo baada ya nyerere...hilo likiwezekana watz watapata fursa ya kujidunza kuongoza kwa vitendo badala ya kuafiri kila mwezi kwenda kujifunza nje bila mafaniko yoyote........
 
Hamad Rashid alia na Sitta

Muda Mfupi uliopita Aliyekuwa kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni Hamad Rashid ameibuka asubuhi hii na kumkabili waziri wa uhusiano wa Afrka Mashariki Samwel Sitta kwa kumtaka kuomba Radhi na kufuta kauli yake ya jana ya kuwaita viongozi wa Upinzani kuwa ni wanafiki.

Hamad alinza kwa kunukuu umahiri wa kambi ya upinzani licha kuonekana kuegemea zaidi upande wa CUF amesema Kambi ya Upinzani ina viongozi makini akiwamo makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwamo pia nay eye aliyeiendesha kambi ya upinzani katika awamu iliyopita kwa uadilifu mkubwa (Sasa sijui alikusudia nini hapa – anyway)

Kaendelea kusema Kauli ya Sitta ya jana ni ya kidhalilishaji ambayo kambi ya upinzani haiwezi kuifumbia macho na kuwa huo ni udhalilishaji mbele ya umma wa watanzania kuwa wao si chochote si lolote,….kabla hajamaliza anakatwa kauli na Naibu Sika Job Ndugai, ambaye anasema kwa mujibu wa kanuni aliyoitaja kipengele cha 39 kinampa nafasi Spika kutoa maamuzi ya Mwisho na kwa hiyo suala hilo alishalitolea maamuzi jana ambapo alikataa kuwa haliwei kujadiliwa na kuwa maamuzi yake yanabaki kuwa kama yalivyo.

Kwa kuonyesha utemi hivi, anamuita Waziri wa Ulinzi mheshimiwa Hussein Mwinyi kuendelea na hotuba ya bajeti ya Wizara yake.
Na Mwinyi Leo ajiandae vema kama maafa milipuko ya ghala za silaha huko mbagala na Gongolamboto ilivyogharimu maisha ya watanzania na yeye haitamuacha salama katika michango ya wabunge.

Stay online for live updates
 
mkuu, uyaonayo na kuyasikia toka kwa 6 usiyashangae, ni matokeo ya semina elekezi, ahadi za nyadhifa na kuuachia ujinga mahala pa werevu, usimwamini 6 kuanzia sasa hata milele, sema AMEN

Nasema , AMEN!!!!!!!!!!!
 
nashukuru kwa taarifa! jana nilitaka zipigwe kavu kavu, mhagama alishtuka akakata bunge kihuni
 
Ukiingia ccm akili unaacha kwenye lango
 
nashukuru kwa taarifa! jana nilitaka zipigwe kavu kavu, mhagama alishtuka akakata bunge kihuni

Kakimbia kiti, na inaonekana kuna ajenda ya wazim kukaba koo sauti ya upinzani lakini kwa mtindo wa kuendelea kupokezana kijiti hoja itapenya tena kupitia mlango mwingine mpaka tujue hatima ya kauli hizi dhalimu.

Ingekuwa upande wa pili kashapewa Mtu masaa hapo kuwasilisha uthibitisho kwa maandishi
 
Wanangu hapo ndipo tulipofika katika nchi hii:-
-Fedha inachukua nafasi ya utu.
-Mali inachukua nafasi ya ada.
-Wahuni wanatukuzwa.
-Waungwana wanabezwa.
-Wapuuzi wanatawazwa.
-Weledi wanazomewa.
Akaunti yetu inaonyesha tuna nakisi ya uongozi. Hizo ndizo dalili za kupotezahaya kwa pamoja, dalili kwamba sasa halaiki iko tayari "kuchojoa" na kuingia mitaani kila mtu kama alivyozaliwa. Ni dalili za mwisho wa zama.
"Haya ni maneno ya Mzalendo mmoja na Mwanaharakati anayeitakia mema nchi hii. Sasa nimefika mahali nayaamini maneno haya kuliko wakati mwingine wowote. Sitta tuliyemwona msomi anayethubutu sasa hata yeye haya imemwishia nani tena atabaki nayo"?
 
Bora 2015 tusichague rais isipokuwa kule tunakoomba misaada kila mwaka ,mwaka 2015 tuombe msaada wa kupatiwa rais kwani tatizo letu ni viongozi nafikia wazo hili kwa sababu sijaona tena rais mzalendo baada ya nyerere...hilo likiwezekana watz watapata fursa ya kujidunza kuongoza kwa vitendo badala ya kuafiri kila mwezi kwenda kujifunza nje bila mafaniko yoyote........
Hapo man umenena kama misaada ya hela inawezekana hv prezida watashindwa kweli
 
Hamad Rashid alia na Sitta

Muda Mfupi uliopita Aliyekuwa kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni Hamad Rashid ameibuka asubuhi hii na kumkabili waziri wa uhusiano wa Afrka Mashariki Samwel Sitta kwa kumtaka kuomba Radhi na kufuta kauli yake ya jana ya kuwaita viongozi wa Upinzani kuwa ni wanafiki.

Hamad alinza kwa kunukuu umahiri wa kambi ya upinzani licha kuonekana kuegemea zaidi upande wa CUF amesema Kambi ya Upinzani ina viongozi makini akiwamo makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwamo pia nay eye aliyeiendesha kambi ya upinzani katika awamu iliyopita kwa uadilifu mkubwa (Sasa sijui alikusudia nini hapa – anyway)

Kaendelea kusema Kauli ya Sitta ya jana ni ya kidhalilishaji ambayo kambi ya upinzani haiwezi kuifumbia macho na kuwa huo ni udhalilishaji mbele ya umma wa watanzania kuwa wao si chochote si lolote,….kabla hajamaliza anakatwa kauli na Naibu Sika Job Ndugai, ambaye anasema kwa mujibu wa kanuni aliyoitaja kipengele cha 39 kinampa nafasi Spika kutoa maamuzi ya Mwisho na kwa hiyo suala hilo alishalitolea maamuzi jana ambapo alikataa kuwa haliwei kujadiliwa na kuwa maamuzi yake yanabaki kuwa kama yalivyo.

Kwa kuonyesha utemi hivi, anamuita Waziri wa Ulinzi mheshimiwa Hussein Mwinyi kuendelea na hotuba ya bajeti ya Wizara yake.
Na Mwinyi Leo ajiandae vema kama maafa milipuko ya ghala za silaha huko mbagala na Gongolamboto ilivyogharimu maisha ya watanzania na yeye haitamuacha salama katika michango ya wabunge.

Stay online for live updates

Thanks GR kwa Taarifa za Bunge, Bring it on.
Live From Bunge na Mzalendo wetu GR​
 
nyombwe.blog.co.uk/.../sitta-ataka-watendaji-wa-bunge-waongezwe... - Cached
6 Mei 2009 – SPIKA wa Bunge, Samweli Sitta, ametaka posho na mishahara ya wafanyakazi wa ofisi ya Bunge ziongezwe kwa maelezo kuwa posho.

www.bongofree.net/news_articles/swahili_news/ctl/.../5476.aspx - Cached
Spika Sitta aipuuza Takukuru kuhusu hoja ya 'posho mbili' kwa wabunge. posted @ Thursday, October 29, 2009 11:52 AM, 84 views, 0 comments ...
Tarehe 16 Agosti 2010, Sitta alimwandikia Rais Kikwete akimtaka kuidhinisha malipo ya makamishna wa bunge ambao ni wabunge kwa msingi uleule kama wa mawaziri. Barua ya Sitta iliyokwenda kwa Kikwete (ambayo gazeti hili limeona nakala yake), ilikuwa na Kumbukumbu Na. CEB.155/169/01/125.

habarileo.co.tz/kitaifa/?n=4092 - Cached
30 Okt 2009 – Sitta amesema, fedha wanazopewa wabunge si posho, ni takrima kama wanavyopewa watu wengine wanapohudhuria mikutano, wakiwemo waandishi wa ...
www.jukwaahuru.com/ - CachedSimilar- Block all www.jukwaahuru.com results

Not helpful? You can block Maskani ya uchambuzi yakinifu results when you're signed in to search.Maskani ya uchambuzi yakinifu

Urafiki wa mashaka? waheshimiwa Samwel Sitta na Edward Lowassa katika picha ... kwa ajili ya kukaba zile posho za kukaa kwenye vile viti vyao vya kuzunguka? ...

w.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=9830 - Cached28 Okt 2009 – SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta, sasa ameanza kutoa kauli tatanishi baada ya jana ... kuchukua posho mara mbili, baada ya kufanya kazi moja. ...

www.yasni.com/la+posho/check+people
27 Mei 2010 – Alimshangaa spika wa Bunge, Samuel Sitta kwa kusema suala la posho hizo ni haki ya wabunge kwa sababu ni kama takrima tu na si rushwa … ...

Ukistaajabu ya Six
Filed under: habari ndio hiyo - tarishi @ 2:45 pm

Ama kweli, ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni!
Kama unadhani vigogo wa EPA ni mafisadi peke yao, basi ulikuwa hujamfahamu Spika wa Bunge SAMUEL JOHN TEGEZA SITTA ! Ukimsikiliza anapoongea unaweza kuamini kwamba kiongozi huyo wa Bunge ni msafi kutokana na umahiri wake wa kujivalisha sifa kemkem – Mr Misifa.
Unakumbuka hivi karibuni alivyomtukana Naibu Spika eti hawezi kusimamia mambo nyeti mpaka awepo yeye mwenye Bunge? ! Kisa nini? Kupenda sifa na kumdhalilisha mwenzake mbele ya umma, halafu bado anaendelea kuliita Bunge eti ni chombo cha kidemokrasia!
Tumebaini kwamba Sitta amekuwa akijimiminia sifa nyingi ili kulinda ufisadi anaoufanya usigundulike katika jamii yetu. Ngoja nikupe tone tu la madhambi yake kwa umma ili uone ni hatua gani utachukua, na ili na yeye ajipime kwa nafasi yake. Angalia uchafu huu:-
- Anatumia vibaya fedha za umma. Amekuwa akitumia msaidizi wake kuchota mapesa kwa kisingizio kuwa ni masurufu ya safari za ndani na nje ya nchi. Kila safari ya siku moja ndani ya nchi huchukua shilingi Milioni tano (5,000,000/=), na kila safari ya siku moja nje ya nchi huchukua shilingi Milioni Kumi na Tano (15,000,0000/=). Ameshindwa kufanya marejesho ya masurufu (imprest) hayo, licha ya kupeleka risiti kadhaa za kughushi/za uongo kwa Mhasibu Mkuu wa Ofisi ya Bunge. Mpaka sasa anadaiwa jumla ya shilingi Milioni sitini (60,000,000/=) za masurufu.
- SITTA hupeleka risiti za uongo kwa Mhasibu Mkuu, zikionesha madai kutoka Oysterbay Pharmacy ya Shilingi Milioni Mbili ( 2,000,000/= ) aliyotumia kwa tiba kila wiki.
- Amekuwa akilazimisha hawara yake wa Hospitali ya Aga Khan naye alipwe posho kama wabunge anapokwenda naye Dodoma. Kwa mfano, hawara huyo alilipwa ‘per diem' kuanzia tarehe 13/12/2007 hadi tarehe 31/01/2008 ( Siku 50). Huo ni Ufisadi mkubwa!
- Anaye kimada wake mwingine anayekwenda kwa jina la ASIA ambaye anaishi nyumba Na. 111 karibu na Mahakama ya Ardhi Upanga na amezaa naye. Huko mtaani kwao kimada huyo hujiita mama SITTA, na ni dada yake aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa iliyokuwa Tume ya Kurekebisha Mashirika ya Umma (PSRC). Mwanamke huyo muda wote hutumia gari la Ofisi ya Bunge STK 232 Toyota RAV 4.
- Pia anaye kimada mwingine (jina limehifadhiwa) ambaye anaishi kinondoni ( Livingstone), mtaa wa Honolulu katika nyumba ya kupanga inayomilikiwa na dada yake Kawawa. Nyumba hiyo inatazamana na Nyumba Na. KH.MK/No. 337 katika mtaa huo huo. Kimada huyo hutumia gari ya kiofisi ya Spika mwenyewe STK 3002.
- Vimada wote hao hupata huduma za maji na umeme kwa gharama za Ofisi ya Bunge. Kuna kipindi mke halali wa Spika, aliwahi kulalamikia hali hiyo. Kuna siku maji yalikatika nyumbani, mke wa Spika akaomba apelekewe ' bowser' la maji na Ofisi ya Bunge. Ohooo! Watekelezaji wakapeleka maji kimakosa kwa kimada. Mama Sitta akashtukia dili.
- Kuna taarifa kwamba mnamo Mwezi Oktoba 2007, Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iligundua mapungufu makubwa katika matumizi ya fedha yaliyofanywa na Spika SITTA. nimedokezwa kuwa Spika aliwanyamazisha wajumbe wa kamati hiyo, ambapo aliwatishia kutowapatia posho na safari za nje kama wangeyafumua mapungufu yake hadharani! Hapo inaonesha kuwa wajumbe hao walipewa rushwa!!
- Kama JK anataka viongozi wa kisiasa na wa serikali watenganishe biashara na uongozi wa ku – ‘sacrifice' kimojawapo, hilo litakuwa gumu kwa sababu Sitta alipokuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kituo cha cha Uwekezaji nchini (TIC) alitumia nafasi hiyo kuingia ubia na wafanyabiashara wengi wa Kigeni. Je, Wizara ya Maliasili na Utalii inatambua kuwa Spika ana hisa kwenye kampuni moja ya Kichina inayosafirisha nagogo licha ya marufuku yaliyowekwa?!
- Nililokupa hapo ni tone tu.
 
Kwanza hajui kujibu maswali, anajikanyagakanyaga tu, tangu akaimu hii nafasi, wengi tumemwelewa SiX ni mtu wa aina gani, hafai hata kuwa mkuu wa wilaya. Mnafiki mkubwa huyo. 2015 kwake imeota mbawa.
Simpendi kuliko bamia.
 
Hivi Waziri Mkuu Pinda yuko wapi hadi kamwachia kiti Bwana Sitta?
 
Nawapa pole wale woooooote (wapinzani) waliomuamini SIX kwa dhati. Hebu na nyie muwe mnasoma alama za Nyakati. Aliyepandisha POSHO za wabunge ni yeye akiwa spika tena kwa mbwembwe akisema hiyo ni kidogo sana ukilinganisha na wabunge wa Kenya. Hakuishia hapo akaanzisha mfuko wa maendeleo jimboni ambalo ni wabunge ndio wanatumia wala hakuna ukaguzi. Watu alipinga sana ila alipofanya semina elekezi juu ya hilo WAPINZANI wakapigia depe. Kwa nini leo asitetee KAZI yake? Hongera SIX msimamo kwenye kazi zako ndio hizo.
Huyu ndiye mtu wenu mzalendo wa kweli :A S thumbs_up:
 
EL ni bora mara millioni moja kuliko huyo six. hivi kweli kuna wabunge zaidi ya 200 ambao kila siku wanchukua hela inayotosha meza na kiti.

kwa idadi hiyo ya wabunge kila siku posho yao inaweza kuijaza shule moja ya msingi madawati, mheshimiwa sita bado hilo halioni!! 2015 is comming where he will need our help!!! (sita 70,000 + 70,000 mama six) = 140,000
 
Hivi Waziri Mkuu Pinda yuko wapi hadi kamwachia kiti Bwana Sitta?

Ameenda Kumsaidia Kikwete Kuomba, Kwani Hujui kuwa Kikwete yupo Mapumzikoni huko Serengeti kabla ya Leo au Kesho Kukwea Pipa Kwenda Afrika Kusini. Na Mkome Watanzania kuchagua Viongozi kwa Sura, sasa mnaachiwa na Giza lenu yeye wala hana Habari za Matatizo ya nchi
 
Back
Top Bottom