Serikali tau ni tatizo kubwa kweli tutakumbana na matatizo makubwa sana ambayo wapinzani wanapenda yatokee kwao vurugu ni mtaji.
Zanzibara wanataka kurudisha utawala wa sultani aliyepinduliwa wanajua kuwa serikali tatu zitavunja muungao hivyo kufanya lolote.
kwa huku bara pia ipo agenda ya siri ambayo wengi hamuijui eti muungano ukivunjika chadema watashinda kirahisi bara na cuf zanzibar,sasa hii akili au matope.
Jamani eeh mimi sio CCM and will never be!! hate them.. but wait a minute kwa nini wapinzani wamenga'nga'na sana na swala la serikali tatu? ni kweli ni kwa ajili ya maslahi ya watanzania au maslahi ya kisiasa? wapinzania hawajawahi kua pamoja kwenye maswala ya msingi wala hata kuungana tu kwenye chaguzi ili kutengeneza nguvu ya kuingoa CCM, ila hapa kwenye serikali 3 wamekua pamoja hasa? kwenye kampeni za Lipumba misikitini anawaponda CDM, na CDM wanafahamu hilo yaani hawa jamaa nje ya malumbano ya serikali 3 ni maadui. Kwanini tusilazimishe serikali 1 au turekebishe makosa yaliyopo? USA ilinunua Alaska na New Mexico ili kujiongezea rasilimali watu na ardhi, Huyu Nyerere ambaye wapinzani wanajidai kumuenzi alisema ili tuendelee tunahitaji WATU, ARDHI, SIASA SAFI NA UONGOZI BORA. hapa tunachokosa ni SIASA SAFI NA UONGOZI BORA sasa tuna sababu gani ya kupunguza ardhi na rasilimali watu? tuwe watanganyika au wa zanzibar. Tukirekebisha kasoro za muungano na wapinzani wakasimamia maswala ya msingi ya nchi hii ambayo CCM wamekua wakibabaisha kama UFISADI ULIOKITHIRI, RUSHWA ELIMU DUNI NA MENGINE LUKUKI TUNAYAFAHAMU nitakua wa mstari wa mbele kwenye maandano yatakayo itishwa na wapinzani. hili la serikali 3 likifanikiwa we will be the f***in' loosers.
Kwanini wapinzani wamenga'nga'na sana na swala la serikali tatu? Ni kweli ni kwa ajili ya maslahi ya watanzania au maslahi ya kisiasa?
Wapinzania hawajawahi kuwa pamoja kwenye maswala ya msingi wala hata kuungana tu kwenye chaguzi ili kutengeneza nguvu ya kuing'oa CCM, ila hapa kwenye serikali 3 wamekua pamoja hasa?
Kwenye kampeni za Lipumba misikitini anawaponda CHADEMA, na CHADEMA wanafahamu hilo, yaani hawa jamaa nje ya malumbano ya serikali 3 ni maadui.
Kwanini tusilazimishe serikali 1 au turekebishe makosa yaliyopo?
USA ilinunua Alaska na New Mexico ili kujiongezea rasilimali watu na ardhi, Huyu Nyerere ambaye wapinzani wanajidai kumuenzi alisema ili tuendelee tunahitaji WATU, ARDHI, SIASA SAFI NA UONGOZI BORA.
Hapa tunachokosa ni SIASA SAFI NA UONGOZI BORA sasa tuna sababu gani ya kupunguza ardhi na rasilimali watu?
Tukirekebisha kasoro za muungano na wapinzani wakasimamia maswala ya msingi ya nchi hii ambayo CCM wamekua wakibabaisha kama UFISADI ULIOKITHIRI, RUSHWA ELIMU DUNI NA MENGINE LUKUKI TUNAYAFAHAMU.
Nitakuwa wa mstari wa mbele kwenye maandano yatakayoitishwa na wapinzani. Hili la serikali 3 likifanikiwa we will be the f***in' loosers.

maoni kitu wewe -----! soma kwa kina nilicho andika inawezekana questionare zilikua ktk hali ya ku manupulate majibu ya tume. lakini kama umeelewa nilichoandika usingetukana, otherwise hata mama yako unamtukana. nimetoa faida za muuangano wananchi waliambiwa faida za muungano? au ume kariri maoni ya wananchi dumb assWewe utakuwa na AKILI ZA MAITI Maoni ya Serikali 3 sio ya vyama vya Upinzani ni maoni ya Watanzania na vyama vya upinzani vinasimamia nini Watanzania wanataka kwani mapendekezo haya yapo Katika Rasimu hii ya 2 iliyowasilishwa na Warioba.
Hadi sasa wewe ni f***in' looser.
kwasababu umma unahitaji serikali tatu na takwimu zilizokusanywa na tume ya Warioba zinaonyesha kuwa raiya wanahitaji serikali tatu.
wapinzani wanasimamia maoni ya umma.
Siyo wapinzani wanaotaka serikali 3 bali ni rasimu iliyowasilishwa na Tume iliyoundwa na CCM. hivyo wanaccm waliowengi ndio tunaotaka serikali 3. Baadhi ya wachumia tumbo wanaoogopa mabadiliko wanapotosha ukweli huu.Kwanini wapinzani wamenga'nga'na sana na swala la serikali tatu? Ni kweli ni kwa ajili ya maslahi ya watanzania au maslahi ya kisiasa?