Mwenye mamlaka ya kutangaza njaa nchini ni rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania;
Hakuna nchi yeyote Duniani chama cha siasa kinaweza kujiamulia kugawa chakula kwa wananchi pasipo serikali husika kupitia kitengo maalumu cha kushughulikia maafa kufanya hivo;
VYAMA VYA UPINZANI havina kitengo cha maafa chenye wataalam wakufanya kazi hiyo, Leo hii kila chama kigawe chakula hiyo itakua nchiii au Danguro? Ikitokea wakagawa chakula chenye sumu nani atalaumiwa? Wanauwezo gani kitaalam kufanya hivo?
Haiwezekani
“CHADEMA wagawe chakula serikali iwatazame tu….!
ACT WAZALENDO wagawe chakula Serikali iwatazame tu…!
CUF wagawe chakula serikali iwachekee tu….!
UDP wagawe chakula serikali iwatazame tu…..!
TLP wagawe chakula serikali iwatazame tu….!
NCCR wagawe chakula serikali iwatazame tu…..Hiiiih BHAGOSHAA.. labda isiwe serikali hii ya awamu ya Tano.
Leo LOWASSA kupitia kanisa la KKT kaahidi kugawa chakula, Kama LOWASSA na Chadema yake wana nia ya dhati; wapeleke hivyo vyakula ofisi ya waziri mkuu kitengo cha maafa; Serikali wakati ukifika itaamua ikigawe vipi;
KAMA KUNA VYAMA VITARUHUSIWA KUGAWA CHAKULA HOVYO HOVYO LABDA SIYO NCHI HII