Wapigania haki za wanawake vipi kuhust hili?

Wapigania haki za wanawake vipi kuhust hili?

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
516
Reaction score
377
Wapigania haki za wanawake na ujinsia wapo mstari wa mbele kumtetea mwanamke katika mambo ya ndoa, mirathi, uongozi nk.Lakini sijui ni kwa bahati mbaya, makusudi, hawaoni jinsi wanawake wanavyodhalilishwa kwenye filamu.

Majukwaani matangazo kwa kuwaweka sehemu kubwa za miili yao ikiwa uchi, lakini hakuna hata mwanaharakati mmoja hata kwa bahati mbaya aliyejitokeza na kukemea kuhusu hili.

Nawasilisha
 
kwani hao wanaovaa hizo ngio WAMELAZIMISHWA????

YAANI WANAHAAKATI WAHANGAIKE NA HAO kina shilole walioenda kuanika nyonyo zao kama OLYMPUS HAS FALLEN ??????? Waache kutetea wanawake wa kanda maalum wanaocharangwa mapanga???

upo siriaz wewe??

MPAKA MTU APIGWE PICHA VILE NI KAJIVALISHA MWENYEWE,
so hakuna kumtetea mpuuz aliienda dukani na kununua vipisi na kubandika kwenye mwili wake
may be una maanisha kingine if so?
edit ur thread
 
Kutetea au kuingilia maamuzi binafsi ya mtu?
Kama analazimishwa anastahili kutetewa ila kama kaamua kwa utashi wake unakemea nini?
Huo utakua ushari.
 
Huo ndiyo uhuru wenyewe wanaotaka sasa wewe unataka wafanyaje tena!
 
kwani hao wanaovaa hizo ngio WAMELAZIMISHWA????

YAANI WANAHAAKATI WAHANGAIKE NA HAO kina shilole walioenda kuanika nyonyo zao kama OLYMPUS HAS FALLEN ??????? Waache kutetea wanawake wa kanda maalum wanaocharangwa mapanga???

upo siriaz wewe??

MPAKA MTU APIGWE PICHA VILE NI KAJIVALISHA MWENYEWE,
so hakuna kumtetea mpuuz aliienda dukani na kununua vipisi na kubandika kwenye mwili wake
may be una maanisha kingine if so?
edit ur thread

upo sawa kbsa dad masai
 
Mkombozi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe ukitaka kuota mvi kabla ya umri wako jiunge na harakati za kumkomboa mwanamke
 
Kwani hao wamelazimishwa kupigwa picha au ni hiari yao?
 
kuhusiana na suala mavazi ya nusu uchi, picha za uchi na ngono, uchangudoa nafikiri wanawake wanajidhalilisha wenyewe. sas mtu anayefanya jambo baya kwa makusudi ni ngumu kumtetea. Kumuelimisha, Kumkemea au kumchukulia hatua za kindhamu ndio njia rahisi ya kumdhibit.
 
Mwenye macho haambiw tazama na mwenye mackio haambiw ckia sasa wamekwisha tangaz il kutowa dhalilisha hao wavaa uch ila bado wanakaidi sasa unataka watetewe vp? Au mtu akimwona mvaa uchi bac umvamie na kumkoromea lol! Hakuna k2 ya ivo kisa chakutolewa jcho n nin.
 
kuhusiana na suala mavazi ya nusu uchi, picha za uchi na ngono, uchangudoa nafikiri wanawake wanajidhalilisha wenyewe. sas mtu anayefanya jambo baya kwa makusudi ni ngumu kumtetea. Kumuelimisha, Kumkemea au kumchukulia hatua za kindhamu ndio njia rahisi ya kumdhibit.

Hakuna kujidharirisha wala nini
Sema niwewe unafikiria hivyo
 
Back
Top Bottom