pedagogue Member Mar 27, 2017 17 43 Apr 5, 2017 #1 Habari zenu waungwana... Naomba kuelekezwa mahali zinapouzwa mashine za kutengeneza mihuri, hapa Tanzania, vizuri zaidi kama ipo hapa hapa Dar es Salaam. Nawasilisha. Mfano wa hizi mashine
Habari zenu waungwana... Naomba kuelekezwa mahali zinapouzwa mashine za kutengeneza mihuri, hapa Tanzania, vizuri zaidi kama ipo hapa hapa Dar es Salaam. Nawasilisha. Mfano wa hizi mashine