Wapi zinapotangazwa Tender mbalimbali?

Wapi zinapotangazwa Tender mbalimbali?

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,316
MUNGU IBARIKI TANZANIA. AMEN

Heshima yenu wote wakubwa na wadogo

Naombeni kujua Ni "APP"' gani au ""WEBSITE ""gani nitaweza kupata matangozo ya tender zinazo tangazwa na serikali wakuu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati .
 
Tender za Serikali zote zinatangazwa TanePs.

Ila wiki hii website Yao iko kwenye maintenance huwezi ipata. Ila kuomba tender za Serikali lazima uwe na mikataba ya GPSA.


Asante.
Asante Sana ndugu yangu
 
Back
Top Bottom