Wapi zilipo ofisi za Public Service Recruitment Secretariat, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi zilipo ofisi za Public Service Recruitment Secretariat,

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mayu, May 24, 2011.

 1. M

  Mayu JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wadau naomba mwenye kujua zilipo hizi ofisi anijuze fasta nina shida muhimu pale
  thanx in advance
   
 2. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,363
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  nasikia ziko pande za kivukoni kama ukifika kuna kituo wanaita ardhi so ukifika hapo kama hatua 18....hv
   
 3. M

  Mayu JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  thanx a lot mkuu
   
 4. M

  MJM JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Na huko tayari mmeanza kupeleka vimemo?
   
 5. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Ni apo utumishi,shuka ardhi au kivukoni kisha muulize yeyote kuwa unaenda utumishi. Kama unapeleka za national audit mwisho kesho,take care.
   
 6. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Duh bongo kazi ipo
   
 7. M

  Mayu JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  hapna sio kimemo mkuu, nilikuwa nawahisha application yangu tu kaka
  dead line iliku hiyo hiyo jana mkuu tarehe 24
   
 8. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Mkuu usaili ukifika tukumbushane.
   
 9. Lighondi

  Lighondi JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 585
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kama watakuita!!!
   
 10. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  umevunja mbavu,umenipa hofu pia,maana nakumbuka nshawahi kufanya interview kati ya 4big audit firm kutoka interview ya kwanza 800 na tuliomba watu2000, ya pili 120,ya tatu 84 walikuwa wanataka 25,cha ajabu nkapigiwa simu ya kuwa hongera umepata nafasi subiri tutakupangia siku ya maongezi,nlisubiri wee! Siku nlipoenda kuhoji nkaambiwa ulipigiwa cm kimakosa,nkajua tayari mchezo umefanywa. Sasa ndugu ukisema ivo unanitonesha donda la audit firm. Ndugu naomba tu Mola anijalie nĂ­itwe kwenye interview ndo kazi kwisha,najihamini ndugu!
   
Loading...