Wapi wenye akili zaidi?

Wapi wenye akili zaidi?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,006
Reaction score
142,611
Kati ya wabongo waishio Marekani na wale waishio UK na nchi zingine za Ulaya, wapi wenye akili zaidi? Mimi nasema wale waishio Marekani....wewe unasemaje?
 
....Ulifanya research au uzushi wako??????????????????
 
Kati ya wabongo waishio Marekani na wale waishio UK na nchi zingine za Ulaya, wapi wenye akili zaidi? Mimi nasema wale waishio Marekani....wewe unasemaje?

.....Why do you say so......
 
.....Why do you say so......

We angalia kwenye hii forum....tuna mimi, Pundit, Mwanakijiji, Kuhani, Kyoma, Reverend Kishoka, Augustino Moshi, Kichuguu (Profesa huyu)...nyinyi wa Ulaya mna nani?
 
tunaye Mtanzania, GT, Mlalahoi, Kitila, Kulikoni, Masanja, Madela, na Njabu
 
...Nadhani wewe hufai kujilinganisha na hao uliowataja.Hili bandiko lako linadhihirisha kuwa una akili sana????? Umepotea njia mkuu anza upya!!!
 
tunaye Mtanzania, GT, Mlalahoi, Kitila, Kulikoni, Masanja, Madela, na Njabu

Madela yuko UESIEI, Njabu is not bright at all, he's just bombastic and thinks he knows English better than every bantu out there.....Mtanzania yuko mediocre, hao wengine ndo kabisaaaaaa.....they are not even worth to mention.....next....
 
We angalia kwenye hii forum....tuna mimi, Pundit, Mwanakijiji, Kuhani, Kyoma, Reverend Kishoka, Augustino Moshi, Kichuguu (Profesa huyu)...nyinyi wa Ulaya mna nani?

Yaani hivyo vigezo ndo vimekufanya utoe uamuzi wa kuwa nyinyi wa marekani mna akili!yaani hiyo njia yako tu imeonyesha kuwa wewe huna akili!sidhani mtu kuwa mwana JF ndo kunamfanya awe ni mwenye akili kuzidi wengine!labda kama kuna utafiti mwingine uloufanya mbali na huo!
Thanks
 
Huna ulijualo wewe kwa hiyo nakusamehe....
 
kila mtu duniani ana akili,inategemea tu umezielekeza sehemu gani,kuna wengine darasani watupu lakini kwenye mpira ni balaa,wengine kwa totoz kama wamechanjiwa.hivyo kuchangia na kuweka bandiko mengi humu isikufanye kuwaona wa ulaya hatuna akili...mi akili yangu nimeielekeza kwenye pound zaidi,hivyo huwezi kuniambia sina akili
 
Nimejaribu kuipandisha hoja hii kichwani, wapi bwana haipandi inaishia hapa shingoni tu.
 
NYANI,reading through your mind,inaonekana una domestc problems,to release your anger cum frustuations,you HIT THE KEYBOARD,with totally uncalled for,layman issues.we the JF franternity symphatise wholeheartedly with your plight,and as a token of support we suggest you see a SHRINK.THE SOONER THE BETTER
 
Back
Top Bottom