Wapi wenye akili zaidi?

Wapi wenye akili zaidi?

Unaona ni jinsi gani ulivyo retarded.....wewe uliwapima vipi wabongo wa yuropa na kujua hawana akili? ndio maana nakuambia una matatizo ya akili

Sasa kama unatumia kipimo changu nilichotumia kwa wabongo wa yuropu kunipima mimi huoni kuwa kufanya hivyo kunafanya uwe beyond retardation.....bwahahahahahahahaaaaaaaaaa......
 
Sasa kama unatumia kipimo changu nilichotumia kwa wabongo wa yuropu kunipima mimi huoni kuwa kufanya hivyo kunafanya uwe beyond retardation.....bwahahahahahahahaaaaaaaaaa......
Kwa hiyo umekubali kuwa wewe mental handcaped......nitakutibu mimi ndio Psychiatrists... i'm gonna treat ur mental disorder.....
 
She/He did not mention about your Mother. Why are you bringing her/his mother into this debate?

Well, he said I am retarded.....and said he/she will help me. I'm not retarded and I took offense and that's why I said he/she should treat his/ her mama. Do you think I'm retarded?
 
KWELI NYANI NI NYANI TU, AWE NGABU, McCAIN, OBAMA AU NGEDERE (HII INANIKUMBUSHA HADITHI YA VICHAA WATATU

Unaniita kichaa....nikijibu mapigo mnaanza kunisakama.

Kwa nini usifanye kama walivyofanya wengine wenye "busara"? Kama unaona hii ni thread ya kijinga isiyo na maana yeyote, basi wala usisumbuke kubandika maoni yako ya kebehi. Hamna haja ya kusumbuka na kubandika maoni yako yenye "akili timamu" kama unaona hii mada ni ya "ukichaa"....sawa braza?
 
She/He did not mention about your Mother. Why are you bringing her/his mother into this debate?
Mkuu watu wa namna hii najua jinsia ya kuwapeleka....kashasema kuwa watu wa sehemu fulani hawana akili...ni tusi tosha hilo....najua matatizo yake na nimemwambia....naanza matibabu yake
NIMH_Clinical_Center.JPG

Hicho kitakuwa chumba chako mpaka utakapo recover na kujua mtu wa ulaya,Nachingwea,kiansi,Adelaide,Seattle,Southampton wote wana akili sawa......
 
Kwa nini usifanye kama walivyofanya wengine wenye "busara"? Kama unaona hii ni thread ya kijinga isiyo na maana yeyote, basi wala usisumbuke kubandika maoni yako ya kebehi. Hamna haja ya kusumbuka na kubandika maoni yako yenye "akili timamu" kama unaona hii mada ni ya "ukichaa"....sawa braza?
Wewe ni mtanzania mwenzetu hatuwezi kukutupa.....tupo bega kwa bega mpaka utakapokuwa na uwezo wa kung'amua mambo akili za ulaya america africa.australia zote sawa.....watanzania tuna utu sana hatukutupi.....
 
bwahahahahahahahahaaaaaa.....i just can't stop laughing......bwahahahahaaaaaaaaaaaaa
 
YUko kwenye matibabu atapona tu......Mods ni wanadamu wema sana hawawezi kumfungia wanajua tatizo lake mentally....vitengo vya wagonjwa wa akili wanashauri wasiwe an hasira......
 
Ndjabu Tha Dude

BANNED, More victims to be added soon! Beware...
 
Akili ni nywele, kila mtu ana zake. Ingawa mimi nawaona wenye akili zaidi ni walio "Bongo" ambako hakuna kilichoandaliwa kwa ajili yao, serikali yao haijui kama wapo lakini wameendelea kuwepo na wameifanya Tanzania iendelee kuwepo!

Una maana walioko huko bongo wanaoichaguwa ccm wana akili?
Ama ni wanaofunguwa matawi ulaya?
Watu wanadiriki kuiita bongo...Hivi kuna anayewadanganya kuwa Marekani maisha ni rahisi?
Ama europe...Kama hutaki kuushirikisha ubongo wako..Basi bongo panakufaa kwa sana tu....Huko hata kodi wengi wao hawalipi...Na majukumu hakuna zaidi ya kujidai mission town...No wonder kuna EPA,RICHMOND nk Na huku pilao bado likiwa big dili kwa sana tu!
Sasa walioko nje ya nchi....Walianza India...
Then wa UROPA....Ukichaa na utahahira upo...Kuna aliedai ni malaria ya kichwani!
Bongo watu wanakuwa pia kama wamedata...Hata maeneo mengine hawaogopi hata kufa ama kugongwa na gari...Ila wako happy tu na life lao...Hakuna mwenye kumjali mwingine tena...So utajazia hapo...
Sasa kuna tofauti kati ya mjinga wa mwanzo na wa mwisho?
Wabongo wa Europe michosho...Nimeshaishi huko...Uswahili na upuuzi....Na hapa USA kuna maeneo kama hayo.
 
Akili ni nywele, kila mtu ana zake. Ingawa mimi nawaona wenye akili zaidi ni walio "Bongo" ambako hakuna kilichoandaliwa kwa ajili yao, serikali yao haijui kama wapo lakini wameendelea kuwepo na wameifanya Tanzania iendelee kuwepo!

You were speaking my mind pal.
 
Nakubaliana na posting # 56, kuwa kutoa maoni meeeengi sio tija bali ni yepi ya maendeleo umeyafanya.

Mwelekeo wa mada kama hizi ni wazi kudhihirisha kuwa JF imevamiwa na inapelekwa kusiko.

Wasaalam
 
J MUSHI,you got it all wrong 'wabongo wa europe wote michosho'mimi nimeishi anchorage,alaska for six years,today i find myself in europe,it all depends where in your life,pastures turn greener.kutokana na posting nyingi humu i gather wewe ni mwanafunzi,not for once,did it register in my medulla O,kwamba you could come out with such unsubstantive sweeping statements.i enjoy reading your postings,na guts zako za kutotetereka,but frankly speaking this time with a sorrowfull heart,i am afraid to say you have let me down,BIG TIME
 
Siamini kabisa kuwa mada hii imefikia kurasa 6!!!!
 
Back
Top Bottom