Wapi wazee wa Infidelity?

tulikuwa EALA, ndo tunaingia na mabegi.
 
Kuna mtu kaniita?

Nimeitika labeka.
 
Ha ha ha ha ha na wewe ulipotelea wapi aisee.

Ngoja waje umemsahau Fidel80 huyo ndo kiboko kwa small house aka mpango wa kando
 
jana hukuwepo, ulitakiwa useme leo.

Ambao walikuwepo jana watasema jana na leo.
dah Kongosho we monitor mzuri, mwl atakupa zawadi utakapo maliza shule, haya bwana wacha niseme ukweli 'janaa'.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…