YoungCorporate
JF-Expert Member
- Apr 30, 2010
- 391
- 113
wakuu amani iwe juu yenu.
kaji-saloon kangu kamepata shurba kidogo katika mizunguko bodi imebonyea kiasi na rangi ya silver kuchunika! Sasa nataka nikapeleke clinic karudie mvuto wake! Wadau naomba location yenye wajuzi waliobobea katika kunyoosha mikunjo na kupaka rangi! Shukran