Wapi wananyoosha bodi na kupaka rangi gari vizuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi wananyoosha bodi na kupaka rangi gari vizuri

Discussion in 'Matangazo madogo' started by YoungCorporate, Sep 23, 2011.

 1. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 387
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wakuu amani iwe juu yenu.
  kaji-saloon kangu kamepata shurba kidogo katika mizunguko bodi imebonyea kiasi na rangi ya silver kuchunika! Sasa nataka nikapeleke clinic karudie mvuto wake! Wadau naomba location yenye wajuzi waliobobea katika kunyoosha mikunjo na kupaka rangi! Shukran
   
 2. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  pole sana mkuu.
  inategemea una bei gani. kama unataka uipige yote nenda kwa wachina pale mwenge......ITV.
  kama unataka kishkaji nicheck kwa PM, yupo kijana anakufanyia hapohapo kwako, kama gari sio ya kuchoma sana lakini.
   
 3. mbuvu

  mbuvu Member

  #3
  Sep 23, 2011
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  .nenda kwa wachina ndio kazi zao hizo
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 17,333
  Likes Received: 3,595
  Trophy Points: 280
  Hivi hao wachina bei zao zikoje? Kubwa, kiasi au za kuridhisha?
  Maana nami nina ka-bajaj kangu naona kama naanza kukachukia, kumbe rangi yake ishanichosha!
   
 5. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 387
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mkuu ahsante, sio yote ni upande tu ndio umechunika kiasi pia hakuna sehemu ya kuchoma maana bodi haijakatika ila imebonyea tu! Kwani bei za wachina zina-range kiasi gani??
   
 6. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Mkuu kuna jamaa mmoja Backshpire aoutshop pale morocco nyuma ya zain ni mzuri na anatumia mashine za kisasa na bei ni maelewano hana njaa mpigie 0715871657
   
 7. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 387
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  thanks mkuu kwa ushauri nitam-consult!
   
 8. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mwenye kujua bei za wchina basi jamani, si vizuri kwenda ukatajiw abei ukazimia
   
 9. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wachina wana bei reasonable kulingana na ubora wa kazi zao... Hawako cheap, na sio expensive ukilinganisha na Muda wa kazi, less longo longo na quality ya kazi yenyewe.. Siwapigii debe ila ukipeleka gari pale utajua nini nasema... kuhusu bei, Mimi kuna mtu alinigonga nyuma, bumper likachanika kabisa na kubonyea vibaya na mlango wa nyuma ukabonyea kabisa, wakataka 380,000 kwa kazi ya siku mbili na matokeo yake ni mazuri sana, yaani hakuna anayejua kama gari iligongwa kama sikumwambia, ni kama imekuja jana kutoka japan, Pia bro wangu aligongwa na tiper, bumper ya mbele iling'oka yote na taa zikavunjia, wachina walitaka 250,000 kwa kazi nzima na sasa hivi ukiliona gari utadhani limenunuliwa mwezi huu wakati lina mwaka sasa.. kwahiyo jamaa mi naona wana bei za kawaida tu kulingana na ubora wa kazi zao.... Mafundi wa mtaani ukilaza gari kwao hesabu maumivu, ukishamaliza kazi ya rangi, matatizo ya engine nk yanaanza, huku wanatengeneza na kule kuna wezi wanalihujumu gari lako... Na huna ushahidi wa kumfunga mtu... Wachina ukienda pale, wana form yao ya kukagua gari, wanalicheki kila kitu na wanarecord kila kilichopo kwenye hiyo form na ukija kulichukua wanapitia tena kucheki kila kitu kipo...

  Ni mtazamo tu.
   
 10. A

  Ados Senior Member

  #10
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wanapatikana wapi hawa wachina?
   
 11. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wapo sayansi, nyuma ya oilcom, opposite ttcl (njia ya kwenda rose garden/ kwa nyerere. Wanaitwa spring city garage.
   
 12. ignas kinunda

  ignas kinunda Member

  #12
  Jun 23, 2016
  Joined: Sep 2, 2013
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  no zao plz
   
 13. ze-dudu

  ze-dudu JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2016
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 3,769
  Likes Received: 2,229
  Trophy Points: 280
  Nzowa automobile garage
   
 14. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2016
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani mwenye namba za wachina wa Spring city na update za kupaka rangi gari kama spacio old model.
   
 15. M'bang'ang'walu

  M'bang'ang'walu JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2016
  Joined: Jul 18, 2015
  Messages: 539
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 80
  Baadhi ya mafundi wa mtaani ni shida sana,
  Mnakubaliana vizuri tu lakini ukishampa kazi tu ndio longolongo inaanza, mara hivi mara vile, kazi haiwezi kwisha kwa wakati. lakini ni haohao ndio wanafanya kazi huko kwa wachina. Yaani hawawezi kufanya kazi bila kusimamiwa
   
 16. witnessj

  witnessj JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2016
  Joined: Mar 22, 2015
  Messages: 3,128
  Likes Received: 2,233
  Trophy Points: 280
  Spring city garage mwenye namba zao jamani...
   
Loading...