Hivi hapa DSM wapi naweza pata sehemu nzuri ya bei ya kawaida ya kupa rangi na kunyosha gari kitaalamu?

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,544
1,760
Kama unajua mahali wanaweza paka rangi vizuri na KUNYOOSHA body vizuri sio kupiga piga na kupaka putty pia ku spry gari ionekane kama haijawahi pakwa rangi.

Usiniambie niende AZAM nasikia bei unanunua Vitz mpaka IST
 
gari iwe kama haijawahi kupakwa rangi? kwani we uliikuta ikiwa haina rangi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom