Sky Eclat, nmeona like yako, mkuu watu wamemis vitu vyako, naomba mwambie na Zero IQ kuwa na papuch inaolewa trh 13/7, imeenda hajaichakata, au kiwanda kilikufa jaman, tutamchangia
Yaani mimi wakati huo nilikuwa napitia wakati mgumu sana,lkn news za Kidukulilo nilikuwa nikizipata nasomaaaaa nachekaaa nina sahau kuwa nina matatizo yaani.
Toka jamii forums ivamiwe na wanafunzi wa sekondari na vyuo,malegend wengi wamepoteza hamu ya kuwemo humu sababu jamii forums imebadirika haina contents zenye akili kubwa kama zamani,ni utoto mwingi siku hz
Aisee umeongea Point sana kuna kipindi kulikuwa na madini sana huku aisee. Ilikuwa unaweza ingia unaomba ushauri wa ndoa, biashara hata kujiendeleza kitaaluma ana wanajamii walikuwa sio wachoyo kukupa mawazo. It was a good time Nao miss sana ile jamii forum.