Toka jamii forums ivamiwe na wanafunzi wa sekondari na vyuo,malegend wengi wamepoteza hamu ya kuwemo humu sababu jamii forums imebadirika haina contents zenye akili kubwa kama zamani,ni utoto mwingi siku hz
barafu mtaalamu wa anga, Dingswayo ,mzee wa mijegeje hutaki acha ,mzee wa story tata radhia sweet ,young and naughty PakaJimmy huyu sijui yupo? Maana tokea ampoteze mtoto kwenye e ajali ya Lucky vincent amepoa sana,
Nb hivi kulikuwa na ukweli wowote ule kuwa Mzee mwana kijiji alikuwa ni Wilbroad Slaa? True legends