Wapi utaenda kufurahia sikukuu?

Ndivyo ilivyo ni Nzuri kiasi chake maana hukuweka free ni maisha yaliyopo sana marekani (loneless life) japo huleta mkazo (depression)

Ili ukwepe kupatwa na mkazo (depression) inabidi uwe na ofisi au kama hata ukaapo ghetto kama una online business hauwezi patwa na depression maana utakuwa na kitu kitakacho kuweka busy kidogo uwapo ghettoni kwa sababu mkazo ni mbaya Sana kuliko sadness wewe sasa hivi Upo kwenye hatua ya huzuni sadness jitahidi kufanya kama niliyo kueleza hapo juu ili usipatwe na depression mkazo/msongo wa mawazo.

Pia Ni maisha ambayo ni ngumu adui zako kukujua kiundani zaidi.
 
Pia hii cartoon inaelezea hali uliyo nayo, maana huyu pichani alikuwa anachukia sikukuu ya christmas bira sababu tu.
 
Pole sana
 
Dah jamaa nakuonea wivu sana najua utaona mapaja mazuri sana huko coco Beach
 
ahsante nitafuata ushauri wako mkuu
 
Nitakua nyumbani Moshi
Hugos Garden nikitoka hapo
Aamuz Bar & Grill
Namaliza Na Mimiz Tarven

[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…