Watu wapo busy na sikukuu mimi sina hata habari
Watu vitu wanavyovichulia kwa umaana mkubwa mimi huwa nachukulia simple sana
Sijui hata kwa nini lakini huwa nahisi kuwa na amani nikiwa peke yangu sehemu tulivu(ghetto)
Nikijichanganya na watu huwa sina amani na furaha