Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,898
- 828,502
- Thread starter
- #21
Mkulima kala mbegu anataka kutuua njaa
Hawa wanasema wameuza kubalance mizania eti labda itashuka bei...sijawahi kuona Gold ikishuka thamani
Serikali na Wabuge huko Dodoma wanabwajaja wanasema wameuza kufadhili miradi ya maendeleo ya kimkakati.
Which is which? ..
Tumuamini nani?..
Who is who...? May be who are you!