Wapi tutaangali Afcon kwa chaneli za Taz

Wapi tutaangali Afcon kwa chaneli za Taz

Mavella

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
459
Reaction score
76
Tanzania mpaka leo sijaona chanel yeyote ina toa matangazo kuwa watakuwa live AFCON

Jana nimeona wenzetu kenya KBC kuwa wataonyesha mechi zote 52 bure.
 
Tibisii wako bize na vikao vya vya Jiwe kutoana akili na mawaziri wake.
 
Tanzania mpaka leo sijaona chanel yeyote ina toa matangazo kuwa watakuwa live afcon,
jana nimeona wenzetu kenya KBC kuwa wataonyesha mechi zote 52 bure.
Ndio hivyo tena TBC wako bize na vikao vya mkuu na makundi mbalimbali ikulu! Tusubili Azam waokoe jahazi
 
Mmeambiwa tizameni ADUBINI
...
.....
 
Back
Top Bottom