Wapi tutaangali Afcon kwa chaneli za Taz

Wapi tutaangali Afcon kwa chaneli za Taz

Tanzania mpaka leo sijaona chanel yeyote ina toa matangazo kuwa watakuwa live AFCON

Jana nimeona wenzetu kenya KBC kuwa wataonyesha mechi zote 52 bure.

ZBC2, Azam Sports HD na TBC2
 
Televisheni ya taifa (tbc)
Timu ya taifa (taifa stars)
 
Tbc no sikio la kufa,mwakyembe rioba eti nao viongozi sijui wanafanya nin ofsn!!!wadhamin kibao ila hamna anayejari,haya hacha tuendelee kuwa wazalendo wa kupenda vyetu,Rudi nyumbani tbc kumenoga, shameless tbc
 
Tanzania mpaka leo sijaona chanel yeyote ina toa matangazo kuwa watakuwa live AFCON

Jana nimeona wenzetu kenya KBC kuwa wataonyesha mechi zote 52 bure.
Mi naangalia kupitia mobro app,chaneli ya bein sport wako laiv,HD
 
TBC hawana hela ya kurusha matangazo ya mpira lakini kutwa wapo busy kujipendekeza kurusha matangazo Live ya Wanzuki.
 
TBC hawana hela ya kurusha matangazo ya mpira lakini kutwa wapo busy kujipendekeza kurusha matangazo Live ya Wanzuki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanzuki na kayoga
 
TBC walipashwa kurusha tena bure maana wananchi walishalipia [emoji41]
 
Bora TBC hawajaonyesha mana katikati ya mechi matangazo yanakatishwa mnaoneshwa ziara ya mkulu
 
Back
Top Bottom