Wapi tapata mkopo?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi tapata mkopo??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MAKONDE22, Aug 6, 2012.

 1. M

  MAKONDE22 Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeajiriwa,take home yangu ni above 800,000.Mwajiri wangu hatoi barua ya mkopo na ameingia katika makubaliano maalum na Bank moja hapa nchini mishahara yote hulipwa kwa kutumia hiyo bank tu,hakubali kulipa .mshahara kwa kutumia Bank nyingine yeyote zaidi ya hiyo bank.Payslips na bank statement zinapatikana.

  Je wapi naweza pata mkopo????

  Natanguliza shukrani!!
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,413
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Si ukope ktk bank hiyo hiyo unakopitishiwa mshahara wako.
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Mkopo unaotaka ni wa sh. ngapi na unataka kulipa kwa muda gani? Ziko financial institutions nyingi tu za kutoa mikopo ya muda mfupi na hamna haja ya commitment ya mwajiri. Hata hivyo mikopo ya namna hiyo huwa na riba kubwa na pengine usikunufaishe kama unavyotarajia.
   
 4. M

  MAKONDE22 Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba list ya hizo FI ni check kama ta afford hizo interest. Kiwango cha mkopo kinachohitajika ni 6.5m.

  Asante.
   
Loading...