Wapi serikali? Clouds tv inavunja maadili!

Wapi serikali? Clouds tv inavunja maadili!

ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!

Kwani scren yako ina channel moja tu
 
Hivi ni serikali gani unayoilalamikia mkuu?wabakaji,wazinzi na wa"sembe" eti wawe wasimamizi wa maadili!ni rahis kwa shetan kuuona ufalme wa mbinguni,kuliko maccm kuwa na maadili!
 
ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!
wenzako wamekuwa kama wale wagiriki wa Enzi za Hayati Mwalimu Nyerere
 
Mpaka huo uchafu unakuwa umerecodiwa hao wahusika wapo wapi?
 
xaxa wewe utaangliaje tv yakifala ucrudie mi mwenzio hata siijui hyo chanel mi naangalia mbeya tv na itv au naweka muvi ya solo au check noris
 
mhhhhhh sidhani kama kuna maadili yaliyobaki nadhani yote washayavunja na wakayamaliza.......kuanzia bungeni hadi ikulu hakuna maadiili comrade hao mawingu wana cement tu thus why hawaogopi...wataguswa na nani wakati mkuu wa nchi ndie mzima mishumaa wao wakati wa sherehe za kuzaliwa wao....
 
ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!

Hivi huyajui matumizi ya remort ya tv??!!! kama utashindwa siku nyingine nakushauri uzime tv...!!!
 
!
!
nadhani kama nimewakwaza walimu wanisamehe ila ukweli ni kwamba walimu bora wako private schools bwana...hawa wa huku kayumba wamefeli mno darasani na hata ufundishaji wao ni wa kuunga unga tu. Emagine mtu aliyefeli ndio anakufundishia mwanao

Nimeshindwa kukuelewa! umewadharau walimu kwa kiwango kikubwa as if ndo watangazaji wa clouds! sasa hao wanao unawafundisha mwenyewe? au wanakosoma wanao hawafundishwi na walimu?
 
Jamani hili nitatizo la media zote hapa bongo hasa zile zisizo milikiwa na taasisi za kidini hali ni mbaya naona wengi wananachangia kwa maneno makali huku kituo kimoja kikinyoshewa kidole uzalendo ni pamoja na ukweli
 
!
!
nadhani kama nimewakwaza walimu wanisamehe ila ukweli ni kwamba walimu bora wako private schools bwana...hawa wa huku kayumba wamefeli mno darasani na hata ufundishaji wao ni wa kuunga unga tu. Emagine mtu aliyefeli ndio anakufundishia mwanao
Emagine ndio nini?kwanza ulipaswa kuwapongeza walimu hao unaowaita wa kayumba!kwanza walimu wengi wamesoma vyuo vya serikali na ndio hao hao wanaofundisha huko unaposifia-tofauti ni mazingira ya kazi,shule nyingi za private zinategemea walimu wa serikali
 
Clouds tv? We sikiliza na redio yao. Serikali yetu ipo kisiasa sana na kifupi imekuwa ya kiwogawoga. Waache na utawala wakujuana juana na kupeanapeana. Duuuuu majanga.
 
xaxa wewe utaangliaje tv yakifala ucrudie mi mwenzio hata siijui hyo chanel mi naangalia mbeya tv na itv au naweka muvi ya solo au check noris
Mkuu hebu tuambie hilo neno XAXA lina maana gani maana nimefikiri kwa uwezo wangu wote sijapata jibu.
 
!
!
walimu wa selikali ni wavivu mno wakiwa katika shule za selikali lakini ni hodari mno wanapokuwa katika shule binafsi.

Back
Top Bottom