Wapi serikali? Clouds tv inavunja maadili!

Wapi serikali? Clouds tv inavunja maadili!

!
!
Sio kila mzungu padri, umekaririshwa kila mtu ana pua fupi, eti?? mie yangu ni ndefu kama barabara kwa hiyo naona kama umenikomplement badala ya ulivyodhani. Kama mtoto wako yuko kayumba mtoe haraka sana ataharibikiwa. Waalimu wenyewe ndio hawa failures unategemea nini?kila siku wako kwenye kurisit unategemea mtoto atapata kitu hapo!..janga mazingira kwa future ya mwanao bana, acheni majungu

Siyo kosa lako. Uwezo wako wa kufikiri unaishia pua yako inapoishia. Hatari ni kwamba, ukisoma ukweli huu utakasirika badala ya kutafakari na kuchukua hatua.
 
ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!
Da!, kwel i see! sijui hawana vipind mbadala
 
Nchi inakwenda iendavyo, no body cares of our ethics, tuliotegemea kuwa wataviadhibu vyombo vya habari vinavyokiuka maadili ndo hao wakiwa bungeni wanakwambia humu ndani kila mtu an mpenzi wake tusifuatanefuatane, kwakweli mbombo ngafu

Hawawezi fanywa lolote kwani Magogoni ni sebuleni kwao
 
sirikal huwa inaona kila kitu ukiona kimya ujue yamekubaliwa mbona walipo msifia mtetez wa mashoga walipigwa fain sikuhz hakuna jicho la ng'ombe wala pembe la jang'ombe
 
ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!
......Mkuu pole sana.....hiyo ndiyo hasara ya ukuwaji wa teknolojia.........uchumi wa soko.......uhuru wa vyombo vya habari. Mara kwa mara tumekuwa tukijiingiza kwenye mifumo mipya ama kwa kuiga kutoka nje ama kwa mahitaji ya wakati bila kuangalia mazingira, mila na desturi zetu. Hatuweki mfumo wa kudhibiti hali hiyo ili angalau isiwe mbali na utamaduni wetu. .....
Ushauri; Jitahidi kulinda kondoo wako kwa kadiri unavyoweza ili wasiathirowa na haya
 
Kwenye suala hili ni tv karibu zote zimeoza kwani ni kawaida kuona utupu wa hawa wanaojiita wasanii sasa kinchofuata ni kushuhudia watangazaji wanahabarisha wakiwa uchi
 
Maadili ya kitanzania ni yapi na yameandikwa wapi? Yalipitishwa na chombo gani kuwa ndo maadili ya kitanzania,?

Mleta mada unakurupuka kama unakimbizwa. Taja maadili waliyo yavunja. Rushwa kila pahala hayo ndiyo maadili ya Mtanzania?
Asiye na maadili atamkemeaje mwingine? Unatazamia nini na nani kiongozi wa leo atathubutu kukemea kitu. Labda Ka.pu.ya kama ni maadili yalienda na Mwl. na maadili yake ya uongozi. Msichuje mbu huku mwammeza ngamia.
 
Achane kulalamika ovyo kama umeshuhudia uvunjifu wa maadili karipoti TCRA,sio unapoteza mda
 
Haaa haaa! umelenga palepale mkuu sana!
Onyesha yooote - mboo, kum. tig. kula tig. kut.mbana siku nzima serikali haitakuuliza chochote tena itakupongeza kwani inataka sana wananchi tubobee huko huku JK & CO. wakituibia na kuifilisi nchi kiulaiiini bila kuhojiwa.
Ukiuliza tu swali rahisi kama "Inakuwaje mh. Rais JK alisema haifamu Richmond wakati ni ya swahiba wake mwa ndani Rostam Aziz" weeeeee! Usalama wa Taifa, Polisi, JWTZ, wabunge, mawaziri lazima wakurukie!
Tz bana, kanchi kataaaaaaaaaaaaamu!

maadili gani wakati wewe nae umeanza kutukana hapo! hivyo ulivyoandika kwako ni sahihi? Tv inakosea hapa jamii forum matusi siyo kuvunja maadili?

Hao usalama wameshakufuata mara ngapi? coz mpaka hapo umeshauliza labda tupate habar umekamatwa
 
itv je? au kwasababu inaonyesha mikutano yenu haina shida.Bias haisaidii bado kuna mengi yenye faida unayoweza kuyapata,fikiri nje ya box,kwani tokea mmeanza kususia vyombo fulani vya habari mmefaidi nini? kwanza hamnunuagi magazeti kazi yenu ni kuanzisha mijadala kwenye vijiwe vya magazeti asubuhi mpaka jioni na kujidai mna uchungu na nchi wakati hata familia zenu zinawashinda.
 
itv je? au kwasababu inaonyesha mikutano yenu haina shida.Bias haisaidii bado kuna mengi yenye faida unayoweza kuyapata,fikiri nje ya box,kwani tokea mmeanza kususia vyombo fulani vya habari mmefaidi nini? kwanza hamnunuagi

magazeti kazi yenu ni kuanzisha mijadalakwenye vijiwe vya magazeti asubuhi
mpaka jioni na kujidai mna uchungu na nchi wakati hata familia zenu zinawashinda.

We acha kuandika upu.mba.vu.
 
ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!

Hayo maadili ya mtanzania ni yapi we mnafiki? kwani lazima uangalie Clouds tu? Badilisha channel uangalie ya el shabab Somalia.
 
hongera ila nadhani huyo mtoto atakuwa na tabia kama za watoto wote duniani wenye akili timamu hivyo atakuwa mtafikti na nadhani anajua kuwasha tv na kutumia romoti,pia kama mzazi napenda kutumia ile kauli mbiu ya mwl salma kikwete mtoto wa mwezako ni wako,pia mimi nina mtoto tangu akiwa na miaka 3 kasoro hadi leo anaanza la kwanza wiki hii anaenda shule saamona kasoro na kurudi saa kumi na mbili ila kila tangazo kwenye tv anajua.Hivyo basi mzazi mwenzangu clouds tv ni lazima wazingatie maadili ya kitanzania regardless wanatazamani mtu gani,maulidi njema 316
!
!
niane mmoja ambae mfumo wake wa elimu umembana kiasi kwamba muda wa kuangalia clouds TV haupo kabisa kabisa yani....kama umempeleka kayumba mwanao zile za kurudi saa nane ndio shida. Mie binti yangu huwa anarudi saa tisa na akirudi ni kulala akiamka ni assignment za shule ghafla saa kumi na mbili hiyo hapo, kabla hajacheza sana tayari giza tunaanza na taarifa ya habari tukicheki na tamthilia za kikorea siku ishaenda. Weekend nyingine kuogelea clouds saa ngapi ataangalia?
 
usipende kutotumia ubongo wako,jf si jukwaa la vyama na hili halina itikadi ya chama chochote hivyo ubongo wako utumike kujadili mada kwa maudhui yake...so plz dont abude your brain
itv je? au kwasababu inaonyesha mikutano yenu haina shida.Bias haisaidii bado kuna mengi yenye faida unayoweza kuyapata,fikiri nje ya box,kwani tokea mmeanza kususia vyombo fulani vya habari mmefaidi nini? kwanza hamnunuagi magazeti kazi yenu ni kuanzisha mijadala kwenye vijiwe vya magazeti asubuhi mpaka jioni na kujidai mna uchungu na nchi wakati hata familia zenu zinawashinda.
 
naye kaharibiwa na clouds tv...nyani haoni kundule
maadili gani wakati wewe nae umeanza kutukana hapo! hivyo ulivyoandika kwako ni sahihi? Tv inakosea hapa jamii forum matusi siyo kuvunja maadili?

Hao usalama wameshakufuata mara ngapi? coz mpaka hapo umeshauliza labda tupate habar umekamatwa
 
!
!
Sio kila mzungu padri, umekaririshwa kila mtu ana pua fupi, eti?? mie yangu ni ndefu kama barabara kwa hiyo naona kama umenikomplement badala ya ulivyodhani. Kama mtoto wako yuko kayumba mtoe haraka sana ataharibikiwa. Waalimu wenyewe ndio hawa failures unategemea nini?kila siku wako kwenye kurisit unategemea mtoto atapata kitu hapo!..janga mazingira kwa future ya mwanao bana, acheni majungu

Hovyooooo...
 
Nimeshindwa kukuelewa! umewadharau walimu kwa kiwango kikubwa as if ndo watangazaji wa clouds! sasa hao wanao unawafundisha mwenyewe? au wanakosoma wanao hawafundishwi na walimu?
 
Back
Top Bottom