Wapi serikali? Clouds tv inavunja maadili!

Mwangaza

Senior Member
Feb 26, 2008
198
64
ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!
 
ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!

BASATA
TCRA
Bodi ya filamu

hiyo kazi ya sensorship na kuscreen contents walishaisahau wanakula mishahara tu
 
Serikali kazi yake kufungia magazeti tu.. Huu ujinga mwingine unaoharibu maadili yetu hawana habari nao.
 
Sio Clouds pekee, bali hata "kioo" cha jamii, TBC1 & 2 ni laana tupu! Nimeshuhudia nyimbo za ajabu kabisa, hazifai jamii
 
Kwani wao ni wapinzani wa serikali? Kwani wameonesha mambo ya kuwafumbua macho watanzania? Waoneshe maovu ya Serikali waone!
 
ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!

Maadili ya kitanzania ni yapi na yameandikwa wapi? Yalipitishwa na chombo gani kuwa ndo maadili ya kitanzania,?
 
!
!
una mambo matatu ya kufanya, ama ufumbe macho, au zima TV au Badili chaneli weka emmanuel ya nigeria

ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Kwani maadili ya kitanzania ni yapi?kuvaa suti na tai,kuvaa gunia,kuvaa baibui au!Mie sijui hebu nambie mkuu,maadili ya kitanzania ni yapi?
 
Kwani wao ni wapinzani wa serikali? Kwani wameonesha mambo ya kuwafumbua macho watanzania? Waoneshe maovu ya Serikali waone!
Haaa haaa! umelenga palepale mkuu sana!
Onyesha yooote - mboo, kum. tig. kula tig. kut.mbana siku nzima serikali haitakuuliza chochote tena itakupongeza kwani inataka sana wananchi tubobee huko huku JK & CO. wakituibia na kuifilisi nchi kiulaiiini bila kuhojiwa.
Ukiuliza tu swali rahisi kama "Inakuwaje mh. Rais JK alisema haifamu Richmond wakati ni ya swahiba wake mwa ndani Rostam Aziz" weeeeee! Usalama wa Taifa, Polisi, JWTZ, wabunge, mawaziri lazima wakurukie!
Tz bana, kanchi kataaaaaaaaaaaaamu!
 
ipo wapi serikali jamani?
Naangalia clouds tv sasa hiv, kwa kweli nyimbo zinazoonyeshwa dah! laana tupu! mambo ya chumban usiku,clouds wanayaanika mchana!bila kujali maadili ya kitanzania!!!

mkuu mwangaza wewe bado unaangalia clouds tv pamoja na kusikiliza clouds radio sisi wenzio hasa watanzania werevu clouds + tbcccm huwa hatuna mda nazo ushauri wangu kwako ili usiendelee kunajisika achana na hizo chanel
 
Hiyo kwao sio tabu,shida kwao ni miziki ya kuelimisha jamii haki zao,kuamsha jamii na kuikosoa serikali hapo ndio utaona makucha yao."TANU ILIJENGA NCHI,CCM INABOMOA NCHI NA KUIVUNJAVUNJA".
 
Serikali kazi yake kufungia magazeti tu.. Huu ujinga mwingine unaoharibu maadili yetu hawana habari nao.
wajaribu kuifungia clouds waone cha moto chezea clouds wewe waziri wa habari wapi na msemaji wako bwana mwambene jaribuni kugusa mboni ya jicho clouds muone cha moto chezea clouds wewe
 
!
!
niane mmoja ambae mfumo wake wa elimu umembana kiasi kwamba muda wa kuangalia clouds TV haupo kabisa kabisa yani....kama umempeleka kayumba mwanao zile za kurudi saa nane ndio shida. Mie binti yangu huwa anarudi saa tisa na akirudi ni kulala akiamka ni assignment za shule ghafla saa kumi na mbili hiyo hapo, kabla hajacheza sana tayari giza tunaanza na taarifa ya habari tukicheki na tamthilia za kikorea siku ishaenda. Weekend nyingine kuogelea clouds saa ngapi ataangalia?

Una watoto wewe
 
Nasikitika sana, tena sana! Naamini Clouds Media inao wahuni wengi, kuliko watu wenye busara.
Inawezekana kabisa hao Wakurugenzi wa Vipindi huwa wamezoea kuangalia pono muda wote, na kuzurura usiku maeneo ya Buguruni usiku. Haiwezekani mtu mwenye akili timamu akaruhusu picha za nusu uchi zionyeshwe kwenye runinga yake.

Ukichambua kwa makini utaona, Clouds Media Group inachangia sehemu kubwa katika kuyumbisha maadili. Kuna rundo la watangazaji wehu: wanaongea pumba, wanaume wanavaa hereni kama wanawali (ushoga mtupu), .....

Sikitiko kubwa ni kwamba mamlaka kama TCRA, ......zimekuwa vijiwe vya wapiga soga. Ukisikiliza utetezi waoa, unatamani kuwafukuza kazi wote.
 
Nchi inakwenda iendavyo, no body cares of our ethics, tuliotegemea kuwa wataviadhibu vyombo vya habari vinavyokiuka maadili ndo hao wakiwa bungeni wanakwambia humu ndani kila mtu an mpenzi wake tusifuatanefuatane, kwakweli mbombo ngafu
 
!
!
niane mmoja ambae mfumo wake wa elimu umembana kiasi kwamba muda wa kuangalia clouds TV haupo kabisa kabisa yani....kama umempeleka kayumba mwanao zile za kurudi saa nane ndio shida. Mie binti yangu huwa anarudi saa tisa na akirudi ni kulala akiamka ni assignment za shule ghafla saa kumi na mbili hiyo hapo, kabla hajacheza sana tayari giza tunaanza na taarifa ya habari tukicheki na tamthilia za kikorea siku ishaenda. Weekend nyingine kuogelea clouds saa ngapi ataangalia?

Siyo kosa lako. Uwezo wako wa kufikiri unaishia pua yako inapoishia. Hatari ni kwamba, ukisoma ukweli huu utakasirika badala ya kutafakari na kuchukua hatua.
 
Back
Top Bottom