Wapi selection wizara ya afya??? Kwanini mliongopa kwenye form zenu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi selection wizara ya afya??? Kwanini mliongopa kwenye form zenu?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by GENERARY, Oct 1, 2012.

 1. G

  GENERARY Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Leo ni tarehe ambayo wizara ya afya walipanga kuanza muhula kwa kozi za Certificate na Diploma kwa mujibu wa form zao za application. cha kushangaza mpaka sasa hata hizo selection zenyewe hazijatoka. kwali tangazo hilo lilitoka ndani ya wizara au mtu binafsi, alijikalia na kupanga mwenyewe? kwanini hakuna hata tangazo lolote kwenye web yao kuonyesha mabadiliko hayo. nimechukia! kumbe ndiyo maana hamna msimamo eeee
   
 2. e

  emmanuel magige Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata, mie wameniboa mpaka ss kimya hawajui km wamekalia maisha ya wa2.
   
 3. J

  John waryoba Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuzidi kujipa moyo ila tunaomba watende haki kwa kuzingatia qulification walizoziandika kwenye fomu
   
 4. Bongoclever

  Bongoclever Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  John Waryoba,hapo umenena la mcng sana,
  tuombe wachague kwa haki.
   
 5. double click

  double click JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mie nasikia kuna fununu kuwa matokeo yanatoka kesho 2subir tuone.
   
 6. Michael Bosco

  Michael Bosco Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  hamna kitu mpaka sa hvi cjui mwaka huu wamegairi
   
Loading...