Wapi ntapata shaver ya kunyolea ndevu?

Jitihada

Senior Member
Feb 6, 2011
155
10
Salaam wakuu! Natafuta shaver ndogo yenye umbo zuri inayotumia betri au umeme ya kunyolea ndevu, nisaidieni wapi naweza kuipata na kwa bei gani maana nataka niokoe garama za kununua viwembe vya kunyolea ndevu zangu,
 
Back
Top Bottom