Si unajua bei za hayo maeneo. Sasa utaanzisha Mazungumzo na mmtu inabidi pia angalu ujikakamue siku ya kwanza kama anakula kinywaji umuagizie na pale hakuna Visungura wala hakuna Kitimoto cha mapande. Hata ukikuta wako wawili mezani usiogope kuanzisha amzungumzo ila usiende huko kama mfuko unasumbua utaaibika na utaonekana kibaka