Wapi ntapata mshangazi wa kizungu?

nenda 25lounge pale sijui jina kama nimkosea ila ipo mbezi makonde wanajita house of wine wamejaa sana pale. au sea clif nenda siku kukiwa na event pale
Si uni dalalie mmoko ki aina mkuu wa mkoa. Ila ntatimba pale, kwani nahitaji macho ya rohoni? Au ntakuta tu ma white dent
 
Shida sio kwendaa bei zake anawamudu shehee huku balaa wenyewe tunakukimbia
Walami tena wamekua wakulima!!!? 😳😳😳 mbona tafash champe. Mi nlikua natafuta kamtaji
 
Kua na Homa ya INI ni hatari zaidi kuliko kua HIV+, sikutishi lakini nakukumbusha
Nakumbuka boss. Ila imefika mahali. We have to risk, tupate rizki(nshawapa mashairi kesho utaiskia hii punchline redioni)
 
Kama ule wa kiongozi wa wakatoriki fake? Yule wa buza
Hahaha
 
Asee wakuu, Januari imeninyoosha kinyama. Wueeeh!!!

Fanyeni wepesi!!! Hivi ni maeneo gani ntaweza pata mshangazi wa kizungu!?? Nimfanyie kilimo cha umwagiliaji haraka upesi.

Au niingie mtandao gani nijiachie humo.


Ukikosa ukataka Limjomba la kizungu la kukuoa nijulishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…