Hapana, wewe unachowwza ni vitu vikubwa vikubwa sanaaaaa.Siamini kamanda. Au sjui niingie siasa.
Matako ya dunia nzima mpaka nimecheka..Labda atafute shangazi aliyejichubua halafu a-assume ni mzungu. Mwaka 2019 pale Ibungu kulikuwa na mhudumu kafungasha makalio ya dunia nzima ila ule mkorogo aliokuwa anatumia ulikuwa unakata stimu vibaya mno. Ibungu ikitajwa nakumbuka mbali sana... nilikuwa mteja wa ile bar kabla hata haijaboreshwa.
Nakupata kamanda, kwa hiyo si naanza na mshangazi mmoja tu. Nikimuwekea asilimia 90% ya muda na energy. Baada ya miaka mitano ni kama ulivyosema.Hapana, wewe unachowwza ni vitu vikubwa vikubwa sanaaaaa.
Utapoteza muda.
Dili na kitu kidogo huku ukikiwekea 90% ya muda na energy yako
Baada ya miaka mitano 5 au six utaanza kuwapa vijana ushauri humu
Basi fanya yafurahishao moyo wako.Nakupata kamanda, kwa hiyo si naanza na mshangazi mmoja tu. Nikimuwekea asilimia 90% ya muda na energy. Baada ya miaka mitano ni kama ulivyosema.
Ulaya siendi chifu, plan ni uwekezaji wa humu humu. Kule kana baridi ya kipuuziTupo hapa wana utalii wakienda Ulaya wanakuwa beki tatu wa kiume wananyooka ila kama una mipango frsh ila kama hauna Plan ya maisha watakunyoosha
Nimekuelewa kamanda. Kamtaji ndio kanazingua kwa mbali. Ila nimekusoma kamanda.Basi fanya yafurahishao moyo wako.
Kawe winga kariakoo kwa siku hukosi 30 ukichangamka hukosi kulaza 200KSio mambo yangu, ila hali ni tete mkuu.
Wazo zuri, ila kule ni kwa wajanja sana kamanda. Jogoo wa shamba akawike mjini kweli?Kawe winga kariakoo kwa siku hukosi 30 ukichangamka hukosi kulaza 200K
Mkuu,Ibungu? ππIBUNGU
Naingizwa kingi nini?Mkuu,Ibungu? ππ
WanaJF na userious ππ
Naingizwa kingi nini?
πππ labda kaona uvivu wa kumalizia sentensi. Kaishia tu kwenye mshangazi. Noma sana.Labda wapo kweli
Lakini sidhani bhana π
Hata mshangazi wa kibongo mwenye hela sidhani kama anapatikana Ibungu π€£πππ labda kaona uvivu wa kumalizia sentensi. Kaishia tu kwenye mshangazi. Noma sana.
Dah! JF sio watu wazuri. πππHata mshangazi wa kibongo mwenye hela sidhani kama anapatikana Ibungu π€£
Nenda vingunguti wapo wengi sanaAsee wakuu, Januari imeninyoosha kinyama. Wueeeh!!!
Fanyeni wepesi!!! Hivi ni maeneo gani ntaweza pata mshangazi wa kizungu!?? Nimfanyie kilimo cha umwagiliaji haraka upesi.
Au niingie mtandao gani nijiachie humo.