zegebovu1
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 415
- 134
Wadau kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo, kikubwa nimevutiwa na bei ninayoisikia juu juu ya 8,000/= sasa najaribu kupata details za wapi ntaipa hiyo cement kwa hapa Dar-es-Salaam maaana ukiingia site unapata contact za Nigeria tu afu ukipiga full mizunguo, kama ile ya mtwara imeshaingia sokoni