Wapi nitaweza kudownload Korean drama(series)

frendz4m.com,ricfzc.com,another.com,02cinemas.com
 
nenda torrent zinapatikana zoote hizo

Umejaribu? Nijuavyo hizi series za kikorea zina seeder wachache au hakuna kabisa labda http://www.asiatorrents.me/ ambako link uzioni hadi uwe member mule wakati washazuia kusajili member wapya. Kama vipi tuwekee torrent file au magnetic link za swallow the sun na Road number one

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Mimi kuna account natumia assiantorrents ubaya wao ukidownload usipo seed wanakublock
 

nimeamini sio mimi tu ninayependa series za kikorea
 
jamani mm nashindwa kudownload naangalia online tu sasa inabidi nikae na betri nyingi coz inakula betri sana
Unatumia device gani mkuu? Kama PC weka Idm, kwa smart phone weka ucweb browser utapakua tani yako
 
mi naitafuta jumong wadau..mwenye link anigei!
 
mkuu mi ninazo zote kuanzia jumong, land of wind, emperor of the sea, slave hunter, great queen seondeak,jewel of the palace etc, nikupe ipi ??

mkuu unapatikana mkoa gani?

Kwa e mail zinaweza kufika kweli?
 
Hivi Hong Kong 25 ni ya Korea au??? Na inapatikana hukuu good drama au????
 
Wakuu hv nawezaje kuangalia hzo series au movies online nikiwa na android device....msaada tafadhali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…