Wapi nitatibiwa Deviated septum?

Wapi nitatibiwa Deviated septum?

Head up

Member
Joined
Apr 29, 2021
Posts
81
Reaction score
129
Habari za muda huu ndugu zangu.
Kwa muda mrefu nimegundua nina tatizo kitaalam linaitwa Deviated septum,hivyo nahitaji kwenda kufanyiwa operation yaani septoplasty,

Tatizo langu naona limekua severe sana mpk kufikia pua moja kuziba kea muda mrefu kabla ya kupokeazana na ingine.

Naomba kupata mwongozo pahala nitakapopata tiba.

Ahsante
 
Mkuu pole kwa maradhi yako ukitaka kutibiwa maradhi yako pasipo na kufanyiwa operesheni nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako uguwa pole.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom