Wapi nitapata vifaa vya kisasa vya usafi?

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,060
2,115
Bila shaka mko njema wakuu,

Nimejaribu kuzunguka maduka kadhaa hapa Dar sijafanikiwa.

Kwa anayejua vinapopatikana vifaa mbalimbali vya tena kisasa vya usafi, naomba anijuze.

IMG_20230419_210738.jpg
cleaning-equipment.jpg
IMG_20230419_210834.jpg
 

Attachments

  • cleaning-equipment.jpg
    cleaning-equipment.jpg
    57.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom