Wapi nitapata UPS mpya? Bei gani?

Wapi nitapata UPS mpya? Bei gani?

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
979
Amani iwe kwenu ndugu!
Kumekuwa na tatizo kubwa la Umeme mtaani kwetu. Kuna mtu kaniambia kuwa, nikinunua UPS itasaidia pindi Umeme ukikatika niweze japo kusevu kazi niliyokuwa naifanya katika kompyuta.

Naleta kwenu wadau. UPS mpya kabisa inayoweza kumudu kompyuta mbili inauzwaje? Sihitaji used.
 
Back
Top Bottom